Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata Liverpool mechi zingine anabebwa na bahati tu na bahati ni sehemu ya mchezo.
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?
 
naona ushindi wa jama unawapa kiburi
Hatunawahi kukosa humu hata kama tunacheza na timu gani tunaamini kama manchester united ukishajua timu yako shida ni ipi hupati shida najua kinachosumbua timu yangu ni mfumo wa uongozi baada ya kuondoka kocha mzoefu basi
 
Radika, Huhitaji kuwa na kiungo kizito sana ili uwe na timu nzuri asikudanganye mtu kinachoamua sana mechi ni defence na stricking force yako katikati unapaswa kuwa na watu wasiofanya makosa makosa tu basi mfano mzuri angalia kosa moja tu alilofanya Scott jana likawapa Norwich goli. Nimefuatilia michango yako kuna kitu muhimu sana unashindwa kuona upungufu wa timu yetu mpaka sasa timu iko sawa kabisa tuna uwiano mzuri sana kiufundi. Mapungufu makubwa timu haina mshambuliaji wa uhakika pale mbele ambaye anaweza kuamua mechi sio kati ya Marcus au Anthony au Daniel wote hawa kusema ukweli ni wachezaji wa kawaida sana ukitaka kujua hili waangalie vizuri hawana movements za kishambuliaji hutegemea zaidi mabeki wa timu pinzani wafanye makosa na hata wakipata nafasi wanatumia chache kulinganisha na walizopoteza. Kuna mtu aliweka hoja kuwa mipira inawafikia michache kitu ambacho si kweli muda mwingi utaona mipira mingi inakua blocked na mabeki kabla hata haijawafikia muda mwingi wanaji-position nyuma ya mabeki wakisubiri wakosee.

Pendekezo langu kuelekea dirisha dogo la usajili ni kheri tumlete kati ya Mario Mazundkic au Edin Dzeko au Ibra Cadabra ili waje wamalize msimu na hawa machalii kufix tatizo kwa muda mfupi pale mbele la si hivyo hatuendi popote na hawa madogo hawana uwezo wa kuipeleka timu big 4. Kutatua tatizo kwa muda mrefu tutahitaji mshambulizi ambaye umri haujasogea sana kama Harry Kane.

Pendekezo langu la mwisho tunahitaji beki wa kushoto Luke hafai kabisa ni injury prone hawezi kucheza mechi 10 mfululizo bila kuumia ni muda sahihi sasa kuziba nafasi yake nimeshtuka tokea amefika 2014 kati ya mechi 200 za ligi kuu mpaka jana amecheza mechi 75 tu. Hapa kama Ole anataka mtu mzito kweli amchukue Benjamin Chilwell kutoka Leicester.
 
Nafikiri Man united haijatibu tatizo la fullbacks

*NJIA NYEPESI YA KU DIPOSIT PESA 1XBET KWA KUTUMIA LINE YA AIRTELL*

*JINSI YA KUTENGENEZA MASTER CARD YA AIRTELL*

* 150 *60# NENDA HUDUMA ZA KI FEDHA, NENDA TENGENEZA MASTER CARD. UTAPEWA LINK YA KWENDA KUIONA CARD YAKO ONLINE. CARD HIYO UTAITUMIA KU DEPOSIT 1XBET KAMA KAWAIDA. NOTE: Kwenye hatua ya mwisho ya ku deposit uta chagua "send OPT to phone number.*

Ukitata kujisajiri na kampuni ya 1xbet Tanzania fungua link hiyo hapo chini 👇🏽👇🏽👇🏽na sehemu ya promo code jaza hizo hapo 👉🏿1x_92545

1xbet.com is being updated
 
Bahat nzur hatujafunga ma striker wetu wamefanya kusudi wamefunga goli za assist wanaviburi sana wakina martial na rashford

Kale ka abraham kamestak computer inagoma kusoma
Uyo Rashid mpaka timu ikae vizuri ndo afunge.. Timu ikiyumba anapoteana.
 
IMG-20191028-WA0017~2.jpeg
 
Back
Top Bottom