Bishoo matial
mpira unaraha.norwich hawa hawa ndo walimfunga mancity na kudraw na chelsea leo kwa man u ambayo kila siku wanasema mbovu ilitakiwa wawafunge norwich goli 5.
Chelsea alishinda 3-2mpira unaraha.norwich hawa hawa ndo walimfunga mancity na kudraw na chelsea leo kwa man u ambayo kila siku wanasema mbovu ilitakiwa wawafunge norwich goli 5.
aahaa mi nakumbuka kama walidraw 2-2Chelsea alishinda 3-2
No clean sheet...
Alishinda sasa nakukumbusha.aahaa mi nakumbuka kama walidraw 2-2
Na Rashford baada ya kukosa penalt alisawazisha ndani ya dakika 3.Man Utd 3.. Martial baada ya kukosa penati kasahihisaha makosa yake
Alishinda sasa nakukumbusha.
Bahat nzur hatujafunga ma striker wetu wamefanya kusudi wamefunga goli za assist wanaviburi sana wakina martial na rashfordNaona leo nyota ya penati imewaangukia..
Huyu dogo sina wasiwasi nae hakika tumepata namba 6 akifikisha miaka 25 ni noma mourinho hapa nampongezahuyu scott anaenda kuwa mwamba mmoja matata saana
Pereira kwa penat hakunaga nashangaa wanamwacha
Anajua mkuu, hao madogo waliopiga wote wanakuonesha kabisa upande wanaopiga,ni rahisi kuotea ila sio kwa Pereira au Mata, kipa anaenda Chato mpira unaenda Kakonko.
Hiki ki mtu kilichofunga hili goli kina mkosi balaa kichapo au suluhu labda Mungu atuone
Kweli leo scott kaniumbua maana mech alizofunga goli la kwanza hatukushindaMpira hauko hivyo