Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usimlaumu ole kwenye replacement mkuu, ole alitaka wachezaji wengi Ila hajapewa, na Huyu jamaa pia Ni mkali Rashford anapewa muda akishindwa kudeliver na yeye pia namba ataikosa, usisahau msimu unaanza Ole alikuwa anaprefer martial Kama namba 9 kuliko Rashford.

Kuhusu pogba Mambo mengi Ni media tu zinazusha na ole amemfundisha pogba Toka alivyokuwa kocha wa reserve kipindi Cha Fergie, ile timu ya kina pogba ya watoto Ole Alikuwepo kikosi Cha u23. Na hata Kama Pogba anataka kuondoka Basi itakuwa Ni process tutafute kwanza replacement huwezi kumuachia tu pogba aondoke itakuwa Ni majanga.

4-3-3 mkuu tunacheza na midfield gani? Ili tucheze huo mfumo inabidi Fred arudi kwenye kiwango, kuondoka kwa Herrera kumetufanya tusiweze kucheza huo mfumo.

Kuhusu ole na Fred sioni tatizo, Fred alikwenda kuoa na hajashiriki pre season, means mwanzo wa msimu hakua fit, na Ole na Fred waliongea na amehakikishiwa kuwa yupo kwenye mipango yake, kinachofanyika Hapa Ni taratibu kumuingiza kwenye kikosi Cha kwanza, mwanzo alikuwa anacheza dakika 30 mpaka Jana amemaliza 90.

Watu wengi wanaangalia timu yetu kwa point tulizo nazo Ila team ime improve sana, Sasa Hivi mechi 1 tunatengeneza nafasi kibao tunashindwa tu kufunga, hivyo tuna tatizo la quality Ila mfumo upo vizuri, hivyo wachezaji wanatakiwa ku improve na usajili pia ufanyike.

Even Arsene Wenger mwenyewe anasema man United bado wachezaji Kama wa 4 icompete kwenye level zote.

Wewe ni genius
 
Pogba wants new £600,000-a-week contract

The Frenchman is hoping to become one of the highest-paid players in the world.

Paul Pogba is angling for a new £600,000-a-week contract at Manchester-United, according to tuttosport.

The midfielder has attracted interest from Real-Madrid and former club Juventus and is aware that the Old Trafford hierarchy are keen to tie him down.

That wage would make him one of the highest-paid players in world football, ahead of even Cristiano Ronaldo.
Ed atampa tu.

Huyu si ndo Cash Cow wa matangazo pale Utd?
 
Wale tunaoamini kipaji cha Mchezaji asipokuwa na mpira Nyoosha kidole juu

Lengo nataka tushirikiane tupeleke Petition FIFA nasisi watuandalia tunzo yetu ya Best Man Player of the Year Kwa Mchezaji mwenye kipaji bila ya kuwa na Mpira.
 
Mkuu vitu vingine unaongea kama una uhakika lakini huna uhakika

Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Ed kuhusu DOF/SD/Technical Director ni hiyo hapo chini, sasa wewe hizo story zako sijui umezitoa wapi

Sasa anavyosema United wana review structure ya football side kwa uelewa wako ndio anamaanisha United isahau mambo ya DOF?
Ameshawsambia hizo Rumours za kuja DOF hakuna kitu kama hicho, akasema Wao Utd wanaamini DOF hahitajiki
View attachment 1217903
Screenshot_20190928_120134_com.android.chrome.jpeg
 
Aisee nyinyi Watu munazidi kunivunja Mbavu

Yani Mimi humu sicomment mpaka nione post inayohusu "Mchezaji kuwa Hatari Akiwa Hana Mpira Kuliko Akiwa Na Mpira" Hii inamanisha Wenzake wasimpe Pasi ndani ya dakika 90 ili azidi kuwa Mkali.
 
Mkuu vitu vingine unaongea kama una uhakika lakini huna uhakika

Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Ed kuhusu DOF/SD/Technical Director ni hiyo hapo chini, sasa wewe hizo story zako sijui umezitoa wapi

Sasa anavyosema United wana review structure ya football side kwa uelewa wako ndio anamaanisha United isahau mambo ya DOF? View attachment 1217903View attachment 1217904
Kijana sijazusha sasa ngoja nikuletee habari nilikoiona maana ilikuwa napitiapitia media ndio nikaona hiyo habari ndio nikamjibu yule jamaa kwamba Ed amesema kuhusu Kumuajiri DOF ni Rumours tu tunazoongea huku mitaani
 
Nitashangaa sana OGS akitumia 4-2-3-1 yake ambayo tayari imeshindwa kuleta matunda katika mchezo wa Jumatatu.
 
Naomba direct quote kutoka United kama mimi nilivyoonesha

Vinginevyo ni upupu tu mwingine unasambazwa na media kama the sun n.k
Kijana sijazusha sasa ngoja nikuletee habari nilikoiona maana ilikuwa napitiapitia media ndio nikaona hiyo habari ndio nikamjibu yule jamaa kwamba Ed amesema kuhusu Kumuajiri DOF ni Rumours tu tunazoongea huku mitaani
 
Kama mechi ya Rochdale alicheza hiyo formation (defensive/formation ya uoga) unategemea dhidi ya Arsenal atacheza formation ipi
Nitashangaa sana OGS akitumia 4-2-3-1 yake ambayo tayari imeshindwa kuleta matunda katika mchezo wa Jumatatu.
 
Yule jamaa aliniqoute na kunitamkia hiyo kauli yupo wapi maana hata jina silikumbuki

Back
Top Bottom