Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Another away win?
manchesterunited___B4IHGaFI8lL___.jpeg
 
Nafikiri mmeona Ole alivyo na akili mbaya,karudia formation yake.
 
Anaetuweka kwenye wakati mgumu ni kocha,mmiliki au wachezaji mechi haionyeshwi kwenye baa,hotel,logi, tv station.

Inatukosti Sana washabiki hatujazoea ujinga. Kitimu kidogo Kama aseno kinaonyeshwa, man utd tunakataliwa. Ni upuuzi sijawahi ona
 
Nakushauri usitazame huu mpira mkuu,nimetazama dakika 12 nimepata kichefuchefu.

Ole sijui anafundisha nini hawa vijana wake,utumbo mtupu. Hata wakiwa na mpira huoni kitu wanafanya.
 
Utafikiri Yanga mhh
 
Hiki ki mtu kilichofunga hili goli kina mkosi balaa kichapo au suluhu labda Mungu atuone
 
Back
Top Bottom