DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Hizi penalty angepiga mtu sahihi huu ulikuwa tayari ni ushindi. Ila kwa hali hii mambo yanageuka muda wowote.
Mkuu unamkubali sana "fundi" Pereira kwenye kazi hizo lol
Hizi penalty angepiga mtu sahihi huu ulikuwa tayari ni ushindi. Ila kwa hali hii mambo yanageuka muda wowote.
Mkuu unamkubali sana "fundi" Pereira kwenye kazi hizo lol
Anajua mkuu, hao madogo waliopiga wote wanakuonesha kabisa upande wanaopiga,ni rahisi kuotea ila sio kwa Pereira au Mata, kipa anaenda Chato mpira unaenda Kakonko. |
Daah two penalties missed..James ananipigia krosi tamu sana.
Huyu Young ni wakukaa nje..
Sijui wanaona nini kwa Young. |
Ngapingapi jamani
Hivi Ole haoni Young anatakiwa kumpisha Brandon?😂
Acha hicho kisiki weweeee..Fred atoke mapema sana
Hivi Ole haoni Young anatakiwa kumpisha Brandon?