Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united were tactically better than liverpool

Liverpool were physically better than man united.

Ole managed to contain the game but failed to win

Man United attacks were lethal than Liverpool attacks

Man United controlled the game 75 minutes liverpool managed to control the game 25 minutes.

The baby faced assassin did a wonderful homework .
Niliandika kabla ya mechi mkuu
 
IMG_20191020_203030.jpg

Mimi mbna sijaelewa unachoongea mkuu , hasa Ile kusema man u ilikuwa lethal to attack kvip, shot on goal mbili, majamaa ni nne, ball possession wapo juu Ila umedai man u more than 75 minutes ana control game, tuelewshane
 
Of course, kwanza anabebwa na timu yake kwa kufunga magoli mengi (hivyo hawapotezi mechi, hivyo watu wanasahau kuongelea ubovu wa beki)

Pili set up ya team ndio inambeba, angalia timu ya Uholanzi inavyoruhusu magoli mengi, yeye akiwa sehemu ya defense hiyo hiyo

Sitamwita ni Dutch's Phil Jones, lakini sio bora kiivyo

Yule Hwan wa Salzburg ndio alimvua nguo kabisa
...
tapatalk_1570116181745.jpeg
 
Refa kawabeba.... Liverpool nao sio wazuri kivile.
Unapekenyuliwa wewe, wasiwe wazur siku moja, man ungekuwa na straiker wa kweli ungeshangaa mwenyewe. Kipindi Cha pili liver walikuja na crossing kwa wingi lkn hazikuzaa matunda, pia tatizo la beki wa kushoto, huyu muajentina wetu anashangaadhangaa tu anasimama, beki hasimami, lkn lojo anashangaa tu uwanjani
 
Bwana Rashid leo alikuwa katika siku zake.....

Nimependa ile jihad aiseeh kamlambisha mchanga kaka mkubwa ....

Ila james yule mtoto wangemuua wale viranja wawili kule nyuma walitaka wamfanyie uhuni maana mpaka dogo akaogopa....

Rojo katili sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nashangaa sijui kwanini hapewagi nafasi........

Hongereni wazee kikweli mulipambana na mlistahili mlichokipata...si haba
Roho anatabia ya kusimama usijue hata goli limexhangiwa na uzembe wa beki
 
Kwa jinsi ninavyoiona Man U ni haina tofauti na ile ya Mou kwa hiyo tutegemee kuwa wabovu zaidi na kumaliza ligi kwenye nafasi mbaya zaidi,mana Jose angalau alikuwa na wachezaji wapalanganaji kidogo kuliko hawa,ili hali Ole yeye kawapunguza zaidi. Nina mashaka sana na uwezo wa kocha na siamini kama atatupa mafanikio makubwa.
 
Upande wangu sio kuzuia ushindi ni kufunga magoli

Kama unafunga goli 2+ unashindwaje kushinda mech?

Msimu wa kwanza wa jose alikuwa akifunga ki goli kimoja anarud kuzuia watu wanachomoa dakika ya 88 mech inaisha kati

Dawa ni kutafuta wachezaj wa 3 wa mbele wa maana

Leo liverpool kapata goli moja mech ijayao mtu atakula 3 lakin sisi huenda tukaenda 0-0

Liverpool alicheza na Redbull sulzbug angalia goli zilivyofungwa

Narudia suluhisho ni ushambuliaji tu
Morinho aliwahi kusema, ukiwa na wachezaji sahihi, the best way to defend, is to attack!
 
Mkuu kwa timu gani uliyonayo, uongeze Martial asaidiane na Rashford

Hatuna timu nzuri kiivyo, kwahiyo wakati tunaongoza goli 1 kwa mtazamo wangu, the best way kulinda ushindi ilikuwa kulinda zaidi
Pengine nilifikir alitakiwa kumuongeza martial wawe na rashford sasa kaharibu mech kocha bado huyu unazuia wakat nyuma una young
 
Mkuu kwa timu gani uliyonayo, uongeze Martial asaidiane na Rashford

Hatuna timu nzuri kiivyo, kwahiyo wakati tunaongoza goli 1 kwa mtazamo wangu, the best way kulinda ushindi ilikuwa kulinda zaidi
Pale tulipoanza kulinda ndipo liverpool wakarudi kwenye ubora wao
 
Walitawala kati, na ndio maana naona angeingia Jones kuongeza ujazo kati tungemaliza game washindi

Martial ni mzuri timu ikiwa ina attack, na tulipunguza ku attack, bora hata angemuacha Rashford, sababu pia anajituma kwenye kukaba
Pale tulipoanza kulinda ndipo liverpool wakarudi kwenye ubora wao
 
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.

Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
Msimu aliochukua city ubingwa liverpool alimzidi manchester united point ngapi?

Point yangu ni kwamba unapoteza muda kutaja point baina hizi timu mbili maana manchester united hapiganii ubingwa kishapoteza au liverpool anatoka mkiani kana manchester united?
 
Walitawala kati, na ndio maana naona angeingia Jones kuongeza ujazo kati tungemaliza game washindi

Martial ni mzuri timu ikiwa ina attack, na tulipunguza ku attack, bora hata angemuacha Rashford, sababu pia anajituma kwenye kukaba
Kweli nayo ni point kwamba tungeongeza kiungo baada ya liverpool kuimarisha kiungo chao?
 
Back
Top Bottom