Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,337
- 201,583
Basically Tunahitaji changes sana kwenye Mentality na game passion ya wachezaji wetu haya yanayotokea ni marudio ya game ya Asno timu iko mbele lakini inashindwa kuzuia ushindi ndani ya dakika 5