Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,570
li timu lenu nimewaachia litimu gani hili ushindi wake droo usng tu na upuuzi hakuna timu hapa.
Uliexpect ushindi dhidi ya Liverpool
li timu lenu nimewaachia litimu gani hili ushindi wake droo usng tu na upuuzi hakuna timu hapa.
Huyu bek ana bahat ya kuchezea timu yenye organization nzur liverpool napenda sana kiungo chao wagumu sana rahisi kuwalinda mabek
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.
Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.
Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
We jamaa bhana usiwe unatuma msimamo humu katikati ya mechi..mara nyingi unaigharimu timu.
Na ndicho Ole anachoshindwa kupigia mahesabu!Dakika ya 85, United 1-0 Liverpool
Rashford out, Phil Jones in
Full Time, United 1-0 Liverpool
That's why, I absolutely respect Jose
Pengine nilifikir alitakiwa kumuongeza martial wawe na rashford sasa kaharibu mech kocha bado huyu unazuia wakat nyuma una youngNa ndicho Ole anachoshindwa kupigia mahesabu!
Sasa Rashford out, Martial in..
Mou mech angeshamaliza goli lilivyoingia..
Huyi asssasin aondoke!
Mbusi weweGo to hell
Mm niumie tena , yote kheri
Najua haya matokeo hukuyategemea kabisa mkuu, pole sana.
Hata mimi sikutegemea, naona unavyoumia.
Nakukumbusha tu la 5 hilo 10 to go.Dah nilitegemea mshinde mumeniangusha sana![]()
We jamaa bhana usiwe unatuma msimamo humu katikati ya mechi..mara nyingi unaigharimu timu.
Uwe unaacha hadi mechi inaisha ndy unatuma picha unazotaka!
Uwe unaacha bhana..kwan ukiacha kuna ugumu gani braza? Kua na uvumilivu, mechi iishe kwanza ndy utume unachotaka
We changia tu inatosha.
Unatugharimu sana.

Arv siyo kabsa..Mm niumie tena , yote kheri
Mimi nangojea mech yangu kesho ,nipae had nafas ya 3
Nimuomba msimamo huyo jamaa maana amekuja kutusumbua jukwaa letu wakati mnaongoza 1-0
Mfumo haueleweki bado ila kama ni 4-2-3-1 basi young ni winger, otherwise ni 4-4-2 diamond ama 5-3-2 pengine Tuanzebe akapewa role ya kumkaba Firminho tu.
Niliandika kabla ya mechi mkuuHapana hii ilikuwa ni 3 4 2 1 ni hybrid ya 3 4 3 ambayo inakupa numerical superiority in all sides of the pitch
Attacking mnakuwa 7 defence mnakuwa 9
Yani jamaa huyu akituma msimamo, basi ujue hamna kitu tena hapo