Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Ushabiki unatufumba macho sometimes aisee
Kuna mahali sisi mashabiki buwa tunapwaya sana
Kuna mahali sisi mashabiki buwa tunapwaya sana
Ushabiki unatufumba macho sometimes aisee
Kwani mashabiki wa Arsenal nyie mnawaonaga wana akili?😂 Hawa si walianza kumlinganisha Maguire na lile katuni lao mustafi?😂😂 Hawa ukiachilia mbali ukibonde wao kwetu,hakuna kitu kinawauma kama wakikumbuka zile goli nane zilivyokuwa zinaingiaingia kama utani. Halafu tukawaumiza zaidi kwa kumchukua nahodha wao akaja kutushindia kombe la 20 akiwa na namba 20 mgongoni.😂 |

Kwani mashabiki wa Arsenal nyie mnawaonaga wana akili?
Hawa si walianza kumlinganisha Maguire na lile katuni lao mustafi?
Hawa ukiachilia mbali ukibonde wao kwetu,hakuna kitu kinawauma kama wakikumbuka zile goli nane zilivyokuwa zinaingiaingia kama utani.
Halafu tukawaumiza zaidi kwa kumchukua nahodha wao akaja kutushindia kombe la 20 akiwa na namba 20 mgongoni.
Jumapili ijayo Mnaenda uwanja uliombikiri Guardiola mwaka huu

. Haya ngoja mrudi kule mlipozoea.Sasa mkuu, hutaki hata mtu ajifariji asee..View attachment 1239687
Mimi mbna sijaelewa unachoongea mkuu , hasa Ile kusema man u ilikuwa lethal to attack kvip, shot on goal mbili, majamaa ni nne, ball possession wapo juu Ila umedai man u more than 75 minutes ana control game, tuelewshane
dongo kubwa sana hili kwa ole na timu nzima....
Anaboaga saaaaaana..dongo kubwa sana hili kwa ole na timu nzima....
dongo kubwa sana hili kwa ole na timu nzima....
dongo kubwa sana hili kwa ole na timu nzima....
Rashid anapata game time ya kutosha. Anafunga goli moja kwa mwezi. Origi anacheza game moja kwa mwezi ...Jibu umelipata sasa
Ndo uwezo wake ulipoishiaAlivyong'ang'ania jersey ya Rashy sasa






Mna timu mbovu hadi kitukoWe unaogopa?
Where is Lionel Messi?
ndiyo amesema mwenyewe Jose.... Nimeiona hii taarifa ESPN piaKwamba unaamini picha ya Jose kuambatanishwa na hayo maneno