Unazi tu, hapo natoa MATIP naweka MAGUIRE. Kwenye kiungo wote uchafu huo nikianza na kiranja wao mkuu HANDERSON ila hapo mbele sigusi naacha kama palivyo hakuna ubishi.
Tukiacha ushabiki , Maguire kamzidi nini Matip msimu huu?
Screenshot_2019-10-14-19-20-26.jpeg
Screenshot_2019-10-14-19-19-58.jpeg
Screenshot_2019-10-14-19-19-43.jpeg
 
Big Sam anajiandaa kuchukua kibarua man u iwapo itakuwa kwenye hatari ya kushuka daraja(Sky sport)
Hivi nyie Arsenali na litimu lenu hilo mnaona kabisa UNITED ni timu ya kuwa kwenye hatari au kushuka daraja? Liverpool ni timu rahisi zaidi kuifunga kuliko Newcastle. Liverpool watafunguka and that's what Ole Gunnar Solskjær wants wakati wao wakifunguka basi na sisi tutapanda kama wao na timu ya kufanya hivyo tunayo tena msiombe majeruhi wote warudi maana hapo ndo mtajua kukata kona yani kwa kiungo hicho cha Liverpool kikiongozwa na kichaa HANDERSON niogope kweli nikiwa Old Trafford! Nikiwa na beki visiki nimeruhusu goli moja tu against Chelsea na Arsenali pale OT... Kule mbele acha kuwe butu vilevile tukipandisha mashambulizi ndo tutajua kama kuna watu au hamna. Big Sam mpeni kazi nyie mkimtoa Unai
 
Hahahhahaaaaa mkuu umenichekesha sana

Big Sam kashaanza kujipigia debe hapo man u, wiki iliyopita kadai Man u kuna uwezekano wa kushuka daraja

So automatically, anavizia kazi, maana yeye ni specialist wakuokoa timu zinazoshuka daraja

Ukishindwa kuifunga Liverpool kuna uwezekano ukachungulia regelation zone ,na ndipo hapo Big Sam anaposubiri
 
Wiki hii jumapili tuanenda kucheza mchezo wetu wa 9 inabaki 29 ktk hiyo 29 zitakuwepo points 87 za kupigania United anaweza poteza michezo 10 akashinda 10 na kudroo 9, total point 39 + 9 + 0(Liverpool) = 48 kama nitashuka daraja kwa points 48 itakuwa kituko sasa EPL timu zenye point kuanzia 50 kushuka huwa position ya 9 kama nitazikosa points 18 basi Championship naenda ila siwezi kwenda kwasabab WE'RE THE FAMOUS MAN UTD
 
Walete walete...

The Old Trafford club are confident of completing the capture of the Croatian forward in the January transfer window.

The Red Devils are confident that a transfer fee of £9 million (€10m/$11m) will be accepted by Juventus, who are desperate to sell the Croatian veteran.
Mandzukic is expected to sign an 18-month contract until the summer of 2021 and would earn a salary of £4.4m (€5m/$5.5m) a year.
 
Marekebisho kidogo. Ni kuanzia 2005 hadi 2009.
2005 - Liverpool vs Ac Milan
2006 - Arsenal vs Barcelona
2007 - Liverpool vs Ac Milan
2008 - Manchester United vs Chelsea
2009 - Manchester United vs Barcelona.
Duh kumbe arsenal amewah kufika kileleni fainali uefa!!!
 
Unazi tu, hapo natoa MATIP naweka MAGUIRE. Kwenye kiungo wote uchafu huo nikianza na kiranja wao mkuu HANDERSON ila hapo mbele sigusi naacha kama palivyo hakuna ubishi.
Hahahahahaha.......Fred,Pogba, Mc Tominay,Matic Lingard umeona hawa ndio midfield sasa? Hizi sio takataka....Henderson ni kiungo mbovu lakini kwa Manchester United hii hakuna wa kumpiga benchi,Mchezaji galasa kama FRED,LINGARD wanacheza Henderson je,Hata Origi ,Shaqiri wakija United panga pangua kikosi cha kwanza wamo.
 
Back
Top Bottom