Man Utd news LIVE - Latest news and gossip from Old Trafford
MANCHESTER UNITED’S dismal week concluded with a 1-0 defeat at Newcastle. And now Ole Gunnar Solskjaer could be sacked should they falter against Norwich – but the Red Devils are still …
Wachezaji 9???
Wakati mwengine munamlaumu tu Ed lakini Hakuna timu inayoweza Kumsajili wachezaji 9 kwa dirisha 1 tena wote wa kikosi cha kwanza.
Wawili tu wa kikosi cha kwanza Maguire na Bissaka wamecost more than £130m+ , Sasa hao 9 Mkuu si wangefika £1B.
Hapo angeliishia kusajili 4 wa kikosi cha kwanza na 5 magarasa ikisha mukaishia kumtukana kuwa kaleta Wachezaji wabovu.
Mkuu usiogope, uzuri ni kuwa asijejua anakoelekea huwa hapotei njia.nimemfuatilia sana OLEGUNAR nimegundua anakua kocha hatari akiwa hapati matokeo. Atatufikisha tunapotaka.
msimu huu hadi napata marafiki wapya was like kisa kunihurumia vipigo nnavyopokea na man u yangu. Naweza kusema hiki ndio nnacho faidi kwa sasa.
Ole at the wheel
Circle itaendelea, baada ya mwaka/miaka 2 na yeye tutakuwa tunamponda humu na kutaka atimuliwe. Hata Fergie arudi Kama hatutabadili structure tutaendelea ku struggle vile vile.Hizi habari za kuja kwa naagelsmann united zimekaaje jamani? Lengo tuangalie uwezekano wa kulifanikisha hili kama mshabiki wa united tulio na mtazamo hasi na rebuild ya Ole.
Tatizo la Ole hatuonyeshi uelekeo gani tunaenda kama klabu. Lampard kachukua timu juzi tu lakini pattern ya uchezaji wao inaeleweka,hata kama hawajashinda game nyingi lakini wanatia matumaini kuwa siku moja watakuwa sehemu nzuri.Circle itaendelea, baada ya mwaka/miaka 2 na yeye tutakuwa tunamponda humu na kutaka atimuliwe. Hata Fergie arudi Kama hatutabadili structure tutaendelea ku struggle vile vile.
Kama Moyes hakupata target zake, LVG analalamika usajili, Mou analalamika usajili na Ole pia Kuna tatizo la usajili kitu gani kinakupa confidence Akija huyo kocha Tatizo la usajili litakuwa fixed?Tatizo la Ole hatuonyeshi uelekeo gani tunaenda kama klabu. Lampard kachukua timu juzi tu lakini pattern ya uchezaji wao inaeleweka,hata kama hawajashinda game nyingi lakini wanatia matumaini kuwa siku moja watakuwa sehemu nzuri.
Ole hata kufanya maamuzi sahihi anashindwa,atatupeleka wapi huyu? Angalia issue ya usajili inavyomuadabisha sasa hivi. Jamaa alikuja kutembelea nyota ya ukubwa wa jina la timu tu,lakini huoni chochote anachokiongeza kwenye lile kundi lake.
Tatizo lake mbali ya kufanya maamuzi ya kuuza silaha bila kuwa na uhakika wa kupata mbadala,kimbinu pia hayuko vizuri vya kutosha kuiongoza united. Tumeona ndani ya hizi game 8 zilizopita hajabadilisha mifumo wala mbinu pindi mambo yanapoenda kombo.Kama Moyes hakupata target zake, LVG analalamika usajili, Mou analalamika usajili na Ole pia Kuna tatizo la usajili kitu gani kinakupa confidence Akija huyo kocha Tatizo la usajili litakuwa fixed?
Mfumo wa Ole uliompatia ushindi mfululizo Ni 4-3-3 Sasa Hivi hawezi kuucheza kutokana na aina za midfield tulizonazo. Tunatumia 4-2-3-1 sababu tuna midfield wachache, hawezi toka Hapo bila usajili.Tatizo lake mbali ya kufanya maamuzi ya kuuza silaha bila kuwa na uhakika wa kupata mbadala,kimbinu pia hayuko vizuri vya kutosha kuiongoza united. Tumeona ndani ya hizi game 8 zilizopita hajabadilisha mifumo wala mbinu pindi mambo yanapoenda kombo.
Usajili pekee haukupatii ushindi ama ubingwa bali na mbinu pia.
Ole haendi kokote, bado wanamwamini ana approach ya kuisaidia united though ina wakati mgumu kwa sasa!Na ole afukuzwi mtaongea sana abaki tu
Sikutegemea Mtu kama wewe kureply kitu kama hichi.
Ivi Man United ni Timu ya kujifananisha na Wachezaji wa Calibre hiyo?
Kwenye post yangu nimetumia Maneno mawili.
1) Wa Kikosi cha Kwanza
2) Magarasa
√ Sasa kama umekusudia Kusajili wachezaji wa kikosi cha kwanza basi Timu kama Man United haiwezi kusajili wachezaji 9
√ But kama umekusudia kusajili Magarasa kama hayo ya Rodgers basi Man United inaweza kuwasajili wachezaji 9 (New versions of Rashford).
Hizi habari za kuja kwa naagelsmann united zimekaaje jamani? Lengo tuangalie uwezekano wa kulifanikisha hili kama mshabiki wa united tulio na mtazamo hasi na rebuild ya Ole.
32<33,yes mkuu.Nasikia he is young than Young![]()
Hii point ni kubwa sna tena sna.. Naongezea tu hapo Ed hasipo achia ngazi na mitazamo yake yy ndo anatk kua boss yy huyo huyo anatk kua mkurugenzi wa ufund man u hii itakufa na hii ni mwanzo tu itakufa zaid na zaid.. Akitoka huyo na Ole nae sio kocha mwny philosophy yoyote ya maana na yy ni wa kufungiwa virago vyake aende kwao Norway.. Yakifanyika ayo basi Man u wakapata kocha basi hapo ndo utaanza sema rebuild ya team inaanza bila ivo ni kupotezeana mda na hakuna mchezaj mkubw mwny akil timamu atakuja kwny club haina waw weny akil timamuKadri timu inavyofanya vibaya ndiyo inavypoteza mvuto kwa wachezaji wazuri
Kibaya zaidi OGS hana mvuto wake binafsi wa kuwavuta wachezaji kama aliokuwa nao Klopp ambaye alipitia magumu ila kuna wachezaji aliweza kuwashawishi kutokana na mvuto wake na kazi kubwa aliyoifanya Dortmund.
Man untd haiwezi kupambana kwenye soko la usajili na timu zenye mvuto kama Barca, PSG , Real Madrid , Man city n.k hivyo option yao ni mediocre players, unapokuwa na mediocre players na mediocre coach unapata mediocre team..
Man untd isipoleta kocha mwenye ushawishi kwa wachezaji wazuri ambaye atafanikisha wanatua OT haraka iwezekenavyo ili aanze kujenga timu, Man untd itakuwa rasmi timu ya kawaida kama stoke city n.k sema utofauti wake ni kuwa itakuwa na pesa nyingi na historia kubwa.
Atletico Madrid waliondokewa na wachezaji karibia 10 msimu huu na wachezaji 6 wanaoanza kikosi cha kwanza (RB-Juanfran,LB-Fellipe Luis ,CB-Lucas Hernandez ,DM/CM-Rodri,FW-Griezman) plus Vietto,Kalinic na wengineo na wamesajili wachezaji karibia 10 (RB-Trippier,LB-Lodi,CB-Hermoso & Felipe ,DM-Marcos Llorente,CM-Hector Herrera,FW-Joao Felix,)Wachezaji 9???
Wakati mwengine munamlaumu tu Ed lakini Hakuna timu inayoweza Kumsajili wachezaji 9 kwa dirisha 1 tena wote wa kikosi cha kwanza.
Wawili tu wa kikosi cha kwanza Maguire na Bissaka wamecost more than £130m+ , Sasa hao 9 Mkuu si wangefika £1B.
Hapo angeliishia kusajili 4 wa kikosi cha kwanza na 5 magarasa ikisha mukaishia kumtukana kuwa kaleta Wachezaji wabovu.
Louis Van Gaal alishaliongea kuwa Ed hajui lolote kuhusu mpira, lakn ndo amekalia majukumu yanahyohtaj mtu mwenye uelewa wa mpira, ni kama mwalimu wa Sanaa apewe jukumu la kufundisha Physics, ndo kinachofanyika kwa Man u sa hv....Hii point ni kubwa sna tena sna.. Naongezea tu hapo Ed hasipo achia ngazi na mitazamo yake yy ndo anatk kua boss yy huyo huyo anatk kua mkurugenzi wa ufund man u hii itakufa na hii ni mwanzo tu itakufa zaid na zaid.. Akitoka huyo na Ole nae sio kocha mwny philosophy yoyote ya maana na yy ni wa kufungiwa virago vyake aende kwao Norway.. Yakifanyika ayo basi Man u wakapata kocha basi hapo ndo utaanza sema rebuild ya team inaanza bila ivo ni kupotezeana mda na hakuna mchezaj mkubw mwny akil timamu atakuja kwny club haina waw weny akil timamu