Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho had his problems, but he didnt hide the fact he knew this squad weren't mentally capable of representing a giant like United. So instead of trusting him to clear the squad out, we sack him, then realised too late he was right, and then gave that rebuilding job to an amateur at this level. This all stems from the top, and nothing will change when the foundations of the club are so rotten..

Nilikuwa anti Mourinho lakini kuna vitu vingi huyu jamaa alikuwa right..
 
🤣🤣🤣Tuliwambia kwa mtu mwenye macho ya soka mlishinda nne lkn chelsea imecheza vizuri kuliko nyie. Timu foward rashford😂😂
 
Bora huyo Mou alikuwa na mbinu pale timu inaposhikwa au inapokutana na mpinzani hatari. Ole ndio zero kabisa na ukitazama Interview ya Degea utagundua wachezaji wameshamuona mzugaji asiyejua lolote kuhusu ukocha.
 
Enzi za Man U zimekwisha. Newcastle 1 Man Utd o: Solskjaer's side suffer yet another derseved defeat.
 
Bora huyo Mou alikuwa na mbinu pale timu inaposhikwa au inapokutana na mpinzani hatari. Ole ndio zero kabisa na ukitazama Interview ya Degea utagundua wachezaji wameshamuona mzugaji asiyejua lolote kuhusu ukocha.

Hii Interview ukicheki, De gea anaona room ndogo, chozi hili hapa!
 
Hii Interview ukicheki, De gea anaona room ndogo, chozi hili hapa!
Anapitia kipindi kigumu sana na yeye pia anakiri hilo. Anacheza na wachezaji wa kawaida mno ambao hawawezi kupata namba hata pale Leicester.

Pereira, Fred,Mata,Rashford, Young, Dalot,Scott,Lingard,Matic hivi hawa wanapata namba za uhakika hata pale Wolves kweli?

De Gea atabaki kuwa kipa wetu bora wa muda wote.
 
Nakumbuka kipindi kile Masai kachukua timu na sifa alizomwagiwa! Jamani tumpe muda angalau miaka mitano
 
Ndiyo mjue Mourinho alikuwa anapitia wakati mgumu sana ila tu uzoefu mkubwa wa ukocha ndiyo uliokuwa unambeba
 

Then Ole at the wheel
 
Nilisema July kuwa man united itapokea vipigo vingi kuliko last season.
Na kuna vipigo vinakuja safi kabisa,tuna point 3 za liverpool, Norwich pia hatotaka kupoteza point kabisa maana kama Newcastle mbovu imezipata yeye ni nani hata akose?😂😂

Baada ya hapo naona Ole akitolewa kafara kwa ujinga wake.
 
Wadau walisema haya toka mwezi June hali imekuwa hivyo hivyo Ole kamtimua lukaku halafu anatumia formation iliyomhitaji zaidi lukaku. Ridiculus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…