Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu ina mmiliki wa ajabu sana. Kwa namna tulivyokuwa ilitakiwa tuwe tumefanya usajili hata wa kuongelewa ila bado tu kila sehemu ni tetesi.
 
Lukaku naskia wanataka kumfyekelea mbali..ishu hii ikoje wakuu??
Wanaruhusu aondoke ila sasa wanataka more than ile hela waliyomnunulia! Watoe hicho kikwazo....sanasana ni inter wanamtaka huku conte akidai hawez fanya kazi na icard kwa7bu za kinidhamu.
Inter wao tayr wamemfukuza kocha wao Spallet na wanasema kwa Icard watataka £70m which is achievable!

A statement released by the club reads: "FC Internazionale Milano announces that Luciano Spalletti will no longer hold the role of first-team coach. The club thanks the technician for the work done and the path taken together."
 
Lukaku naskia wanataka kumfyekelea mbali..ishu hii ikoje wakuu??
kwa mtazamo wangu ni maamuzi ya ovyo yatakayofanywa na klabu endapo itafikia maamuzi ya kumuondoa romelu lukaku.
nafahamu kama jamaa ana udhaifu mkubwa sana kwenye umiliki wa mpira hususan first touch lakini cha kujiuliza man utd kama klabu imemsaidia vipi romelu lukaku aondokane na udhaifu wake?

mbona romelu lukaku huyu huyu mwenye touch mbovu kama simu ya kichina akiwa belgium anafunga magoli anavyojisikia?
  • tuna winga wa ovyo wasioeleweka kwa msimu wa pili tokea asajiliwe lukaku, hivi martial, rashford, lingard, sanchez wametengeneza nafasi ngapi za magoli msimu huu?
  • tukumbuke james maddison wa leicester city peke yake ametengeneza nafasi za magoli takribani 100 msimu huu je hao wa kwetu wote kwa pamoja wanafikisha nafasi 100 walizotengeneza msimu mzima na wanalipwa mishahara ya kufuru?
  • tuna walinzi wa pembeni wa ovyo sana kwenye utoaji wa huduma za mashambulizi kuliko timu kubwa yoyote, luke shaw, young, darmian, dalot wote hawa wanazidiwa na mlinzi mmoja tu wa liverpool wa pembeni either robertson au arnold alexander kwa utoaji wa huduma za mashambulizi, unategemea lukaku afanye nini?
  • akichoka paul pogba na viungo wote wamechoka, hivi herrera, matic, na fred wamempa mipira mara ngapi romelu lukaku kwenye eneo la adui msimu huu?
tusidanganyane jamani kwa timu tulionao romelu lukaku ndiye mchezaji pekee mwenye uhakika wa kukupa magoli 25 kwa msimu mzima kama utampa huduma zake anazostahili.

umuuze lukaku then umbakishe rashford kwa kigezo cha umri ni zaidi ya usengee, halafu una uhakika gani kama mshambuliaji ajaye ataendana na vishindo vya ligi ya uingereza kwa muda mfupi?

kama tutaurudisha nyuma umri wa ruud van nistelrooy basi sawa acha tufanye hivyo then tumsajili tena ndipo tumuondoe romelu lukaku.​

tumejificha kwenye udhaifu wake wa first touch huku tukijisahaulisha matatizo makubwa yanayotukabili kama timu, chicharito, inzaghi, diego millito walikuwa na touch mbovu mbona walikuwa wanafunga?
unacheza na rooney, scholes, giggs, berbatov, kaka, sneijder, pirlo, seedorf, nani walio kwenye ubora kwa nini usifunge?​

nyakati za sir alex ferguson tulikuwa na washambuliaji wanne kwa msimu mmoja, kuna ubaya gani endapo klabu itambakisha lukaku baadae watafute mshambuliaji mwengine wa kuongeza nguvu?
1112292
 
De Ligt to #MUFC is a done deal pending medicals. Total agreement with Ajax, the player and Raiola. I don’t expect any news till after the International games.

In the next week or so you will see conflicting articles. This is to build hype around the deal which #MUFC want.
 
Newcastle anaweza kuongeza ushindani na kufanya kuwa na top 7..sasa United tukimaliza wa saba hapo hata Europa hamna.
[/QUOTE
Everton pia kwa kiwango walichomaliza nacho msimu,wakiboresha padogo tu tayari top 8,tutamaliza ligi tukigombea top 10 tusipokuwa makini
 
kwa mtazamo wangu ni maamuzi ya ovyo yatakayofanywa na klabu endapo itafikia maamuzi ya kumuondoa romelu lukaku.
nafahamu kama jamaa ana udhaifu mkubwa sana kwenye umiliki wa mpira hususan first touch lakini cha kujiuliza man utd kama klabu imemsaidia vipi romelu lukaku aondokane na udhaifu wake?

mbona romelu lukaku huyu huyu mwenye touch mbovu kama simu ya kichina akiwa belgium anafunga magoli anavyojisikia?
  • tuna winga wa ovyo wasioeleweka kwa msimu wa pili tokea asajiliwe lukaku, hivi martial, rashford, lingard, sanchez wametengeneza nafasi ngapi za magoli msimu huu?
  • tukumbuke james maddison wa leicester city peke yake ametengeneza nafasi za magoli takribani 100 msimu huu je hao wa kwetu wote kwa pamoja wanafikisha nafasi 100 walizotengeneza msimu mzima na wanalipwa mishahara ya kufuru?
  • tuna walinzi wa pembeni wa ovyo sana kwenye utoaji wa huduma za mashambulizi kuliko timu kubwa yoyote, luke shaw, young, darmian, dalot wote hawa wanazidiwa na mlinzi mmoja tu wa liverpool wa pembeni either robertson au arnold alexander kwa utoaji wa huduma za mashambulizi, unategemea lukaku afanye nini?
  • akichoka paul pogba na viungo wote wamechoka, hivi herrera, matic, na fred wamempa mipira mara ngapi romelu lukaku kwenye eneo la adui msimu huu?
tusidanganyane jamani kwa timu tulionao romelu lukaku ndiye mchezaji pekee mwenye uhakika wa kukupa magoli 25 kwa msimu mzima kama utampa huduma zake anazostahili.

umuuze lukaku then umbakishe rashford kwa kigezo cha umri ni zaidi ya usengee, halafu una uhakika gani kama mshambuliaji ajaye ataendana na vishindo vya ligi ya uingereza kwa muda mfupi?

kama tutaurudisha nyuma umri wa ruud van nistelrooy basi sawa acha tufanye hivyo then tumsajili tena ndipo tumuondoe romelu lukaku.​

tumejificha kwenye udhaifu wake wa first touch huku tukijisahaulisha matatizo makubwa yanayotukabili kama timu, chicharito, inzaghi, diego millito walikuwa na touch mbovu mbona walikuwa wanafunga?
unacheza na rooney, scholes, giggs, berbatov, kaka, sneijder, pirlo, seedorf, nani walio kwenye ubora kwa nini usifunge?​

nyakati za sir alex ferguson tulikuwa na washambuliaji wanne kwa msimu mmoja, kuna ubaya gani endapo klabu itambakisha lukaku baadae watafute mshambuliaji mwengine wa kuongeza nguvu?
Siku zote huwa namrate Lukaku kama best in the world kwenye strength zake. Kipindi Mou anamsajili alilalamika pia wanamruhusu amsajili Lukaku na wanakataa kutoa Hela kwa winga (perisic kipindi kile).

Jamaa ukimletea service nzuri mipira ya nguvu nguvu na vichwa yupo vizuri sana, tunaweza tukawa na Main striker inayolink vizuri na tukawa na lukaku wa kubadili mchezo ama plan B kwenye timu ngumu.
 
Newcastle anaweza kuongeza ushindani na kufanya kuwa na top 7..sasa United tukimaliza wa saba hapo hata Europa hamna.
Haha Mkuu. Uki underestimate man u hivo hapana Mkuu, hadhi ya man utd ni 1,2....na ndio maana akikaa Mwl amabe haipandishi anafukuzwa. Kabla ya Ferguson, na baada ya kustaafu Mwl mmoja, walikaa makocha wakatimuliwa hovyo hovyo. Baadaya ya Ferguson the same. Ni ishara kuwa anatakiwa akae Mwl wa ukweli
 
Back
Top Bottom