Hujakosea liver anapigwa gali 3 bilaLeo man u anashinda goli 3
na mechi ya Liverpool akirudi pogba, martial, wan bisaka na shawa tunashinda gali mbili (2)
Deal donena leo lazima nipige pesa nimemuua mancity nimempa chelsea nimempa arsenal na nimemuua na man u kwa newcastel1X kwa elfu10000 imetoka M1na elfu 52
Sio kocha ni mfumo mzima wa uongozi unaambiwa uza lukaku na wewe unakubali bila kupima maana yake mambo ya mpira ni zero wale wote wakina ed wakufukuzwa wapo kibiashara mashabik wa hii timu wanachotakiwa kufanya ni kuacha kununua bidhaa za hii timu na kuingia uwanjani wakipata hasara kwenye biashara jibu watapata wao wanafaidika kifedha mambo ya uwanjani hayawahusuKwa hiyo tatizo ni kocha?
Abraham anaweza vipi?Tatizo la Man u ni vijana wadogo kubebeshwa mizigo mikubwa.
Rashford hawezi kufanya aliyofanya van persie au tevez
Pereira kwa Giggs
Tominay kwa Scholes
Maguire kwa vidic
Lindelof kwa ferdinand
Martial kwa Rooney
Wachezaji wa Man u wa sasa ni wa kiwango cha timu iliyo katikati mwa msimamo, hata kama akibadolishwa kocha ni sawa na kazi bure.
Kumbuka Maguire ni £80Tatizo la Man u ni vijana wadogo kubebeshwa mizigo mikubwa.
Rashford hawezi kufanya aliyofanya van persie au tevez
Pereira kwa Giggs
Tominay kwa Scholes
Maguire kwa vidic
Lindelof kwa ferdinand
Martial kwa Rooney
Wachezaji wa Man u wa sasa ni wa kiwango cha timu iliyo katikati mwa msimamo, hata kama akibadolishwa kocha ni sawa na kazi bure.
LVG,Mourinho wote walicheza Uropa but hali yetu haikuwa mbaya kiasi hichiEuropa mbaya Sana kwenye kuchosha wachezaji, even Rashford hakutakiwa kuanza leo, amecheza mfululizo mechi nyingi, sema ndo hivyo hatuna jinsi.
Kuna watu wanaamini James ni bora Sanchez au Rashford kuliko Lukaku.Sio kocha ni mfumo mzima wa uongozi unaambiwa uza lukaku na wewe unakubali bila kupima maana yake mambo ya mpira ni zero wale wote wakina ed wakufukuzwa wapo kibiashara mashabik wa hii timu wanachotakiwa kufanya ni kuacha kununua bidhaa za hii timu na kuingia uwanjani wakipata hasara kwenye biashara jibu watapata wao wanafaidika kifedha mambo ya uwanjani hayawahusu
And buriedMANCHESTER UNITED IS DEAD MANCHESTER UNITED IS DEAD
Ma boss wa manchester united hawana tofauti na magufuli kwa kujifichia kwenye migongo ya watu
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka? Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera? Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford😂😂 Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani? Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze😂😂 |
Hajawah kuleta akashinda.Huyu jamaa ana mkos akiletaga msimamo kule jukwaa letu lazima wapigwe ,
Hivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?mmoja ndio huyu hapa analeta habari za kinafiki kama kawaida yao:
Ryan Giggs believes Ole Gunnar Solskjaer needs to sign four or five more players to get Manchester United back where they need to be.
"They need another four or five players," the Wales manager said.
"He (Solskjaer) has bought in three players but he probably needs seven or eight (altogether).
"But you can't do that over one transfer window, so you have to be patient because it will be slow.
"The culture has changed and what he is trying to do was much needed. He needs time."
maneno haya nyakati za mourinho hayakuzungumzwa
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka?
Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera?
Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford😂😂
Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani?
Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze😂😂
ndio maana nikakwambia hao legends ni wanafiki wakubwa, timu imeharibiwa na mwalimu mwenyewe waache kutafuta visingizio vya kijingaHivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?
Yaan kwa kariba ya wachezaji tulionao sioni umuhimu wa kocha mpya....yaani wachezaji hawana spirit kabisa..wanacheza wamerelax sanaa...hawapambanii brand ya utdHivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?