Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1570216158041.png
 
Hahahahaaaaaaa
Naona huyo bwana ameshindwa kuelewa au ameamua kutonielewa. Udhaifu wetu mkubwa tangu mwanzo niliona upo katika eneo la kiungo na kutengeneza magoli, nadhani wewe na yeye wote mmeona wachezaji niliowahitaji hapo wangenenepesha kiungo chetu(Bruno na Dybala) unaweza kutafuta ukajionea Bruno msimu huu pekee kwenye primeira liga ana goli 4 na assist 4 katika michezo sita tu.

Europa ana goli mbili katika mechi mbili. Sijui kama kuna mchezaji wa kiungo wa MUFC amefanya haya.

Sasa jiulize kama tungempata huyu leo hii ningeweza kusema timu ni mbovu?

Hata hivyo sio kosa mtu kubadilika, leo naweza kuwa na maoni haya na kesho nikabadilika kutokana na hali. Huwezi kuwa na maoni yaleyale kila siku kwa kitu ambacho kiko kwenye maendeleo,utakuwa mjinga.
 
Udhaifu wa man united kwa sasa upo kwenye attacking midfield kushindwa kutengeneza chances nyingi za magoli

Pamoja na striking force kushindwa kutengeneza magoli ya kutosha tungekuwa na mchezaji mmoja mzuri kwenye kiungo cha juu kama Che Hee Hwang na striker kama Piatec na right wing yetu kuwa lethal kama tulivyo kushoto tungekuwa kwenye hali nzuri.

Ole kutokufanya usajili kwenye maeneo hayo ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu sana.
 
Ndio maana fergie namuonaga kama mchawi vile kuweza kumaintain ligi kwa hali ileile kila msimu mpya unapoanza.......hawa spurs wameshindwa icho kitu
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.

Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?
 
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.

Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?😂


Mkuu unakumbuka uliposema Spurs asipochukua ubingwa msimu huu atakamata nafasi ya 2?

Nilikupinga sana lakini ukasisitiza Kuwa Spurs ndiyo Timu yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa.

Vipi bado una Imani ya Spurs kubeba ubingwa?
 
Back
Top Bottom