Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Spurs kala nini msimu huu ?
Kuwatumia Wachezaji walewale kwa Muda mrefu bila ya usajili wa uhakika ndiyo hupeleke mambo kama haya yanayomkuta Spurs
Spurs kala nini msimu huu ?
Mkuu unakumbuka uliposema Spurs asipochukua ubingwa msimu huu atakamata nafasi ya 2?
Nilikupinga sana lakini ukasisitiza Kuwa Spurs ndiyo Timu yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa.
Vipi bado una Imani ya Spurs kubeba ubingwa?
Naona kama kuna tatizo ndani ya timu, pengine wameanza mpango wa kumsusia kocha😂😂 Ila kwa kikosi chao niliamini hivyo,ngoja tuendelee kuona maana ligi bado mbichi mkuu. |
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.
Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?😂
Aya mambo ndo yatamkuta na Klopp muda sio mrefu..Kuwatumia Wachezaji walewale kwa Muda mrefu bila ya usajili wa uhakika ndiyo hupeleke mambo kama haya yanayomkuta Spurs
Kuwatumia Wachezaji walewale kwa Muda mrefu bila ya usajili wa uhakika ndiyo hupeleke mambo kama haya yanayomkuta Spurs
Tuna kikao cha dharura huku
View attachment 1224361
Niliona lineup nikasema labda kuna Sisoko wawili Poch nae hana mbinu kama Ole wetu ama ?
Au wachezaji wamechoka maana kikosi chake n kifinyu afu kila mwaka wanapambana hao hao ?
Aya mambo ndo yatamkuta na Klopp muda sio mrefu..
Zile saba bado zinawachanganya hawa na niliwatabiria ubingwa.
Lloris kavunjika sijui kama watafurukuta tena. Pochettino naona naye sijui amepatwa na nini, Sissoko anacheza kama beki?
Siti zao zimekuwa reserved kwa kampuni fulani, wamehamia Siti nyengine.Toka fregie astaafu hawajarudi tena OT hawa wahindi
Mpira ni mchezo wa maajabu sana, aliyemfunga City leo amepigwa tano na Aston villa 😂😂😂
Siti zao zimekuwa reserved kwa kampuni fulani, wamehamia Siti nyengine.