Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yule Rashford kapata ile Free-kick ya dakika za mwisho sasa alivyopiga unajiuliza huyu dogo kichwani anawadudu Funza yaani kabutua kama uwanja upo miles away na Alipo yeye

Hovyo sana Hii Timu
Ajabu ni kwamba kila inapotekea free-kick yeye hukimbilia kupiga utafikiri yeye ndio fundi sana wa hiyo kazi.
 
Mie nilijifunza kushabikia baketball kuepuka machungu ya man utd kipindi cha mou,ilinisaidia sana.

Heri kipindi cha Mourinho angalau nilikuwa nampenda kocha
Sasa sa hivi huo Ole simkubali,wachezaji hakuna hata mmoja nayemkubali....sijui hata nabaki kwa ajili gani mammmae zao wale wanaenda uwanjani kukimbizana tu kubabake zao
 
Manchester United is Dead tunachokisubiri hivi sasa ni RELEGATED tu.
 
Usioongee wakati umeshiba
Screenshot_20191003-194146.jpeg
 
This is OGS!
Solskjaer: “Very happy with the boys, we come away with a good performance. Should have been three points, a nailed on penalty. You cant even discuss it. Good performance against a good opponent on a very bad surface.”
20191004_003511_rmscr-1.jpg


OGS ndiye anayejua ubora wa timu upo wapi, sisi mashabiki tutulie 😌 😌 😌
 
Mambo ya kuzoea ligi ni hadithi tu kama zile za Lingard kuwa bora akiwa hana mpira.

Mbona Daniel James tumenunua na anakiwasha vyema tu.

Aah,nimesahau una maumivu ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukakuta ni kenge.
Hahahhaha kwahiyo mnajiaminisha hivo , siku hizi mnatamba na James tu, nasikia Leo hamjapiga shoot on target hata 1 ni kweli?
 
Mambo ya kuzoea ligi ni hadithi tu kama zile za Lingard kuwa bora akiwa hana mpira.

Mbona Daniel James tumenunua na anakiwasha vyema tu.

Aah,nimesahau una maumivu ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukakuta ni kenge.
Daniel James
Angel Gomes
Mason Greenwood
Juan Mata
Fred
Marcus Rashford
Jesse Lingard

Man Utd failed to have a single shot on target against AZ
 
Back
Top Bottom