Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Basi matokeo mazuri kwetu ni goalless draw maana tatizo letu ni kufunga magoli.

After all Man united siyo threat tena kwa timu yoyote so tutegemee New Castle kujaribu bahati yao pia hawawezi kuwa wanyonge kwa man united.

Kibaya zaidi New castle ni timu ambayo huwa wanabattle sana wanapocheza na Man united
LEO WANA MAN U TUWE NA IMANI TUNASHINDA NIMEIANGALIA NEWCASTLE YA STEVE BRUCE NI WABOVU BALAA KULIKO SISI... WANACHEZA 5-4-1 MUDA WOTE WAKO NYUMA.. NINA IMANI TUKIPATA KA GOLI KAMOJA KAMA KAWAIDA YETU MSIMU HUU WAKUFUNGA KAGOLI KAMOJA BASI HAWA JAMAA HAWAWEZ KUKASAWAZISHA... ILA WAKISAWAZISHA TU BASI ITAKUWA SARE YA 1-1 MAANA MAN U KWA SASA HATUNA UWEZO WA KU SCORE GOLI ZAIDI YA 2 UKIACHA ILE MECHI YA CHELSEA TU TULIOMGONGA 4-0.. KWAHIYO LEO MAN U KUSHINDA 1-0 AU MECHI SARE 1-1
 
Tunafungwaaaaaa na liva anakuja pigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza.....
Basi matokeo mazuri kwetu ni goalless draw maana tatizo letu ni kufunga magoli.

After all Man united siyo threat tena kwa timu yoyote so tutegemee New Castle kujaribu bahati yao pia hawawezi kuwa wanyonge kwa man united.

Kibaya zaidi New castle ni timu ambayo huwa wanabattle sana wanapocheza na Man united
 
Narudia kuwakumbusha tu,nyie hivi sasa hamna mechi rahisi tena kila mechi kwenu nyie ni ngumu.
 
Pepe kale- 0-1goals interval
OK
IMG-20191006-WA0008.jpeg
 
Siti zao zimekuwa reserved kwa kampuni fulani, wamehamia Siti nyengine.

Hao ni Madons wakubwa sana pale kweny e Jiji la Manchester, Wanapokuwa nyuma ya Bench la Ferguson alikuwa hawezi kuleta ujinga kama anaoufanya Ole.

Sasahivi nadhani wameachana na kuifatilia Timu coz hawajazoea shida.
 
Back
Top Bottom