Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja.Kwahiyo kumbe VAR kazi yake ni kucheki Offside tu ila sio Penalty!
Refer katunyima penalti VAR kumbe si lolote

Hahahahahahahahah ni mechi ya vitukoNimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah...![]()
Ila ww siulikula 4-0??Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah...![]()
Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tuUnaangalia mechi huku unacheka tu,fair results kabisa dah aibu sana
Hahahahaha daaah united yangu inaumaaaaa ila inabidi ucheke tu....
Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo. Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo. Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje😂😂 Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara. |
Daah mpira wote mbovu mliocheza na refa kachangia?Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja.

Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu
Huwa siwaelewi mnaosema Unai sio kocha,kama Unai sio kocha OGS ni nini? Si ndio atakuwa mvuvi kabisa?😂😂 |
Sema haki ya nani bhana bhana, eeeh...
Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo.
Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo.
Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje
Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
