Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Walimuacha BF kwasababu anapoteza pasi.Sasa bruno na lingard kwa takwimu izi ni mbingu na ardhi
Walimuacha BF kwasababu anapoteza pasi.Sasa bruno na lingard kwa takwimu izi ni mbingu na ardhi
Acha kuzurura majukwaa ya wanaume ovyo ovyo huku umevaa kanga moja iliyolowana.RASHFORD:- "Kukimbia uwanjani kunachosha hapo hapo inakulazimu upige shuti kali, nasema ukweli mimi nilisukumiwa kwenye football academy sina kipaji cha mpira, mpira tuwaachie wakina Messi na Ronaldo.
Nilitaka nisome niwe engineer, engineer wa majengo moyo hauko kwenye mpira, nimeshavuna pesa naombeni mashabiki wa man u mniruhusu nikafungue kampuni ya ujenzi.
Ni aibu sana nimeshindwa kufikisha magoli 20 kwa msimu, nashukuru pogba umepona tukupe lawama, lukaku umeniacha kwenye mataa siwezi kufunga natamani nipewe pasi ndefu za kutoka nje nikwepe lawama.
RASHFORD sio mvivu,ni uwezo wake ndio umefikia kikomo pale hauwezi kuongezeka zaidi ya pale,Msilazimishe afanye vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wake.Rashford mvivu saana uwanjani hana lolote hata shuti hajapiga golin mpak mtoto greenwood anaingia na kupiga shuti
na game ya jana sikuielewa hiyo var niliona wachezaj wa arsenal wamenawa mpira mara mbili kwenye box na var hawakufwatilia chochote akat najua kuwa epl hakuna sheria ya mpila kufwata mkono ikionekana mtu kashika ni penalt tu spain ndo wanahiyo sheria ya ball to hand
Walimuacha BF kwasababu anapoteza pasi.
RASHFORD:- "Kukimbia uwanjani kunachosha hapo hapo inakulazimu upige shuti kali, nasema ukweli mimi nilisukumiwa kwenye football academy sina kipaji cha mpira, mpira tuwaachie wakina Messi na Ronaldo.
Nilitaka nisome niwe engineer, engineer wa majengo moyo hauko kwenye mpira, nimeshavuna pesa naombeni mashabiki wa man u mniruhusu nikafungue kampuni ya ujenzi.
Ni aibu sana nimeshindwa kufikisha magoli 20 kwa msimu, nashukuru pogba umepona tukupe lawama, lukaku umeniacha kwenye mataa siwezi kufunga natamani nipewe pasi ndefu za kutoka nje nikwepe lawama.
Hahahahahahahahahwe mjinga umeniwahi. Dawa inachemka
Kama mnahitaji msaada wa kumfungashia virago vyake tunaweza kuwasaidia,kama tulivyofanya kwa Jose.Newcastle then Liverpool
Ole ana kazi ngumu kuliko kawaida..
Newcastle then Liverpool
Ole ana kazi ngumu kuliko kawaida..
United hii imefunga goli zaidi ya moja kwenye gemu moja tu..Sasa kwa nini kuwafunga Newcastle pale St.Peters Park isiwe kazi??Mkuu mpaka Kuwa Newcastle nayo unaiita ni kazi?
Naunga mkono hoja hii. Rashford ni uwezo tu hana na si uvivu. Mvivu ni Martial.Kusema Rashford ni mvivu ni kumuinea, dogo ni moja kati ya wachezaji wanaojituma sana United
Tatizo la dogo ni uwezo mdogo
Laiti Martial angekuwa anajituma kama Rashford, angekuwa mchezaji bora duniani
Hivi ishu ya Fernandes January ni rumours tu au