Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Acha mahaba ww, na ungeshinda ungeongea sana shabiki wa MUN bhana! Arsenal ishu ya kocha haijaanza kuongelewa mechi ya MUN tu, toka muda sana hilo linajulikana.Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?
Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki
Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli
VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.
Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao
Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates
Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa [emoji23][emoji23]