Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu
Fukuzeni kocha mapema UNAI hatawapeleka popote anawapotezea muda tu,Manchester hii inajichezea ovyo ovyo tu wanakimbia kimbia kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Katika makosa mabaya yaliyofanyika 2019 ni kumuachia Lukaku. That guy ungekuwa mkombozi wetu mwaka huu.
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?😂😂

Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.😂
 
Hakuna game naisubiria kwa hamu kama ya liva tarehe 20 mwezi ujao
Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo.

Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo.

Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje

Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
 
Msimu uliopita tulicheza na Man u tukasuluhu nao. Ilikua suluhu ambayo mimi niliifurahia wachezaji walionyesha spirit na mpira ulipigwa.

Leo ni tia maji tia maji mno. Arsenal tungefungwa nisingeshangaa.

Anyway better luck next time.
 
Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?

Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki

Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli

VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.

Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao

Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates

Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
 
Kuuzwa kwa Lukaku ilikuwa ni tatizo

Kuuzwa kwa Lukaku bila kuleta mbadala imekuwa tatizo kubwa zaidi
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?

Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.
 
√Rashford as a straiker:...Hiki kitu hakiwezekani,hapa OGS aligamble kipumbavu kabisa kwa kumuuza Lukaku na kutokusajili chuma kingine..Huyu dogo hajui kujiposition hata kidogo,anaparamiana tu na mabeki and funny enough anakunja £200k

√Why Fred asicheze na McTominay then Pogba akasogea 10??,Lingard akiwa nyumbani kwake akicheki mechi kwenye TV..

√Tuanzebe anajiamini sana,kitu ambacho ni kizuri and sometime ni kibaya..ana some qualities though

√James alikuwa Poa,mwili mdogo ila stamina ya kueleweka

√Perreira somehow amejitahidi,,huwezi kumlinganisha na Superstar JLingz(Lingard) hata kidogo

√OGS ni mtu sahihi wa kuijenga hii timu tunayoitaka??..Tactically yupo vizuri??..I don't know aisee,ngoja tuendelee kuona

√Huyu refa anayeitwa sijui Friend huwaga ni mpuuzi sana na VAR sielewi ilikuwa ni kwa ajili gani

√Wakuu on serious note, how Pepe is £75m worth??
 
Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?

Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki

Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli

VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.

Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao

Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates

Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
Hahahaha
 
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?

Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.

Kuna Manchester United Fans ambao wao hawaangaliagi mechi kabisa lakini utasikia kocha ana jenga timu itakuwa bora miaka ijayo

Wakati tunaocheki game za Man United tunaona timu ambayo inaweza shika nafasi ya 11-20 mpira ni wa hovyo sana na kila siku bora Jana
 
Kibonde wakati msimu uliopita ulinichangia point 4 na msimu huu hivyohivyo unazungumza utumbo gani tena
Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?

Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki

Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli

VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.

Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao

Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates

Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
 
Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?

Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki

Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli

VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.

Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao

Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates

Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
Penalt za wizi sasa hivi hazipo,Yule muhuni wenu Howard Web ndio alikuwa amewazoesha hii tabia ya kuwatafutia vitu vya wizi Old Trafford,kila chenye mwanzo kina mwisho.
 
Ole kama ni kocha makini, Tuanzebe anapaswa kuanza pamoja na Maguire. Lindelof asubiri kwanza.

Kama anashindwa kuachana na 4-2-3-1 yake basi hizo mbili akae Scott na Fred,Pogba asogee jjuu.

Kama Martial atapona basi Rashford afukuzwe kabisa kwenye timu au awe muokota mipira pamoja na wale watoto,kama Ole anampenda sana basi awe mbeba koti lake.
 
Lingard walikuwa wanampa sana mipira na ndio maana hakuwa hatari Leo,ila alivyotolewa so muliona hatari yake nenda katika player rating jamaa ana 9/10

Hahahahahahahahahah

Cc. King Ngwaba
 
Back
Top Bottom