Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hata mimi nimejipiga ban kuangalia game zetu ila nasapoti mpango wa ujengaji timu

Ila kiukweli hii timu yataka moyo sana, kila siku Lingardinho yupo ndan anazurura tu mchezaji anacheza namba 10 ana mechi karibu 20 hajafunga wala assist na bado anapangwa tu, inakera kwakweli.

Ggmu
Dirisha hili mmeongoza kwa kuspend ,

Mnataka nini zaidi
images.jpeg
 
Ishu ya kocha ilianza kuingelewa tangu lini? Tulipowagonga 8?

Wewe ndio acha porojo, nyie si ndio kabla ya mechi mlituaminisha hii mechi lazima mshinde? Wanaoongea nani kati ya sisi na nyie, WTF.... Yaani kwenye Uzi wetu tusiongee, muongee nyie tu kwenye Uzi wetu

Ooh, kocha... Kocha, naona hicho ndio kimekuwa kichaka chenu cha kujifichia siku hizi, as if kabla ya Unai mlikuwa mnafanya vizuri
Kubishana na mnazi ni upopoma ni bora nikae kimya.
 
Kipepe hamna kitu, mchezaji ghali wa muda wote Arsenal, ametulizwa na academy graduate Axel ambaye amecheza namba ambayo hajawahi kucheza
Haaahaaha! Hapo MUN ina point 9 in 7 games,imagine ingekua Top of the table.
 
Kuna Mstari kwenye Biblia unasema
Nao Maadui zako watakapokuona watakukimbia

Ndicho alichofanya Maguire jana kumkimbia Aubameyang

IMG-20191001-WA0001.jpeg
 
Haaahaaha! Hapo MUN ina point 9 in 7 games,imagine ingekua Top of the table.

Pierre-Emeric Aubameyang amefunga magoli 17 kwenye michezo 17 iliyopita ya mashindano yote, Man United imefunga magoli 15 kwenye michezo 17 iliyopita kwenye mashindano yote.
 
Wanaosema Man U mnascore easily kwa timu inayofunguka inaweza kua sahihi ila si kwa asilimia zote. Nafikiri mnatakiwa kusema kua mnascore easily kwa timu inayofunguka huku ina beki tia maji tia maji.

Liva ni wanafunguka vibaya mno pamoja na Man City. Hope mkikutana nao mtanotice kua beki yao ni nzuri hivyo ufungukaji wao hauathiri kitu.

Arsenal tunamlalamikia kocha, lakini hatumaanishi kwamba sisi tunataka kushinda tu. Hapana, tunacholalamika ni kwamba kocha anafanya timu icheze huku haionyeshi kupambana na hata spirit ya kushinda haionekani. Ana tatizo la kuchezesha watu namba zisizo zao, Torreira na Xhaka, na kufanya sub ambazo huzidi kufanya mechi kua ngumu. Alifanya hivyo kwa Watford ikatokea suluhu.

Kila la kheri katika mbio zenu za ubingwa.
 
Kweli huangilii mechi

Lingardinho ame assist game ya Carabao dhidi ya Rochdale
Mkuu hata mimi nimejipiga ban kuangalia game zetu ila nasapoti mpango wa ujengaji timu

Ila kiukweli hii timu yataka moyo sana, kila siku Lingardinho yupo ndan anazurura tu mchezaji anacheza namba 10 ana mechi karibu 20 hajafunga wala assist na bado anapangwa tu, inakera kwakweli.

Ggmu
 
Kiukweli Pepe ni moja kati ya wachezaji niliokuwa nawa admire na nilitamani waje United (kutokana na YouTube clips)

Lakini nilivyomuangalia kwenye games (sio YouTube clips) za Afcon nilianza kuwa na wasiwasi naye. Ghafla nikaona anapigwa benchi, hapo ndio nika kum doupt kabisaaa
Hapa anaongelewa Pepe sio Fred. nimeongelea Pepe na sio mechi saba ni zaidi toka yuko Lille na kiwango chake cha kawaida na hamfikii Zaha kwa mbali, maoni yangu
 
Nyie mna points ngapi za kukufanya umdharau United? mbona kabla ya mechi ya jana mlipiga yowe sana kana kwamba mna timu nzuri

Mimi niliwambia jana kabla ya mechi, nitanukuu "........ after all tunacheza na Arsenal......" tena OT kwa hiyo sikuwa na pressure

It is just Arsenal......
Haaahaaha! Hapo MUN ina point 9 in 7 games,imagine ingekua Top of the table.
 
Nyie mna points ngapi za kukufanya umdharau United? mbona kabla ya mechi ya jana mlipiga yowe sana kana kwamba mna timu nzuri

Mimi niliwambia jana kabla ya mechi, nitanukuu "........ after all tunacheza na Arsenal......" tena OT kwa hiyo sikuwa na pressure

It is just Arsenal......
Lakin uliipa man u asilimia 60 za kushinda

Mimi nilikwambia ni 50/50 nikizingatia poor selection ,na poor tactic za Unai
 
Pierre-Emeric Aubameyang amefunga magoli 17 kwenye michezo 17 iliyopita ya mashindano yote, Man United imefunga magoli 15 kwenye michezo 17 iliyopita kwenye mashindano yote.
Cha ajabu sasa goli nyingi sana anafunga huyu jamaa lakin hazina msaada ktk timu siongei kishabiki hapa ndipo unapoona anashindwa kupata heshima anayostahili goli nyingi zinakuwa na mantiki kama unashinda kitu kama hushindi kikombe bado unakuwa wa kawaida mwisho wa siku tunabak kupigania namba 5 na 6

Mtu akileta ushabik hapo hataelewa maana yangu
 
Back
Top Bottom