rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyeaHalftime sasa afadhali
Lowkey Arsenal anatusaidiaga sana kuongeza points kwenye msimamo wa ligi
Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyeaHalftime sasa afadhali
Lowkey Arsenal anatusaidiaga sana kuongeza points kwenye msimamo wa ligi
Pogba hata asipokua kwenye kiwango chake ana impact kwenye timu. Jiulize kwann akiumwa Ole anaumwa kichwa!!Kuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani.
Arsenal kwa Pepe walipigwa aisee.
Kule arsenal wanalalamika na ninyi munalalamika tuwaeleweje..![]()
Bwana mdogo katulia kwenye dimba, hana mambo mengi kama sana.Dharau izi
Dogo ni cleverley typo
Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyea
I see a next Michael Carrick
Pogba anazinguaga kwa sababu ya vihio waliomzumguka, anaomba wanamchosha ila anajua kupenyezaKuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani.
Kama ulijua vileShida Tom akifunga goli, huwa ama tudroo au tupigwe. Labda hiyo hali ikome Leo.




