Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kocha mzr ame prove wapi huo uzur wake?... Au mzr kuliko nani?Duh OGS mbona kocha mzuri tu ,tatizo hana wachezaji,
Kocha mzr ame prove wapi huo uzur wake?... Au mzr kuliko nani?Duh OGS mbona kocha mzuri tu ,tatizo hana wachezaji,
Kuna Manchester United Fans ambao wao hawaangaliagi mechi kabisa lakini utasikia kocha ana jenga timu itakuwa bora miaka ijayo
Wakati tunaocheki game za Man United tunaona timu ambayo inaweza shika nafasi ya 11-20 mpira ni wa hovyo sana na kila siku bora Jana
Makocha wanaojenga timu wanaonekana hata kwenye maamuzi yao,jiulize leo Rashford alikuwa anafanya nini uwanjani hadi atolewe Pereira yeye abaki? Hivi ujinga anaofanyaga Rashford, akiufanya chini ya Pep anaweza kupata namba tena? Kama Ole akiendelea kuwa kocha,tunamaliza nafasi mbaya sana. Tukipata nafasi ya kushiriki Europa basi itakuwa ni sawa na ubingwa kwetu. |
Na hao ndo wengi utasikia kocha mbn mzr.. Kocha mzr ka prove wapi uzur wake, uzur wa kocha hata kama team sio nzr utauona tu kwny Tactics zake.. Ole yan plan B uwa hana mpr ukigoma ndo basi tena game imeishia hapoKuna Manchester United Fans ambao wao hawaangaliagi mechi kabisa lakini utasikia kocha ana jenga timu itakuwa bora miaka ijayo
Wakati tunaocheki game za Man United tunaona timu ambayo inaweza shika nafasi ya 11-20 mpira ni wa hovyo sana na kila siku bora Jana
Makocha wanaojenga timu wanaonekana hata kwenye maamuzi yao,jiulize leo Rashford alikuwa anafanya nini uwanjani hadi atolewe Pereira yeye abaki?
Hivi ujinga anaofanyaga Rashford, akiufanya chini ya Pep anaweza kupata namba tena?
Kama Ole akiendelea kuwa kocha,tunamaliza nafasi mbaya sana. Tukipata nafasi ya kushiriki Europa basi itakuwa ni sawa na ubingwa kwetu.
Kwani humu mnabishania nini?
Si mmepata droo tayari. Subirini tar 20 mwone, tunakuja.

Na hao ndo wengi utasikia kocha mbn mzr.. Kocha mzr ka prove wapi uzur wake, uzur wa kocha hata kama team sio nzr utauona tu kwny Tactics zake.. Ole yan plan B uwa hana mpr ukigoma ndo basi tena game imeishia hapo
Daaah Mzee mpaka sisi vibonde unataka kutuwekea busta pambana kwanza Leicester city weekend hii
Sisi hatukuwezi kwa sasa![]()
Leicester mgumu aisee, ukiangalia game zake anavyopiga kazi, nahisi atazingua.
Me uwa nacheka sna.. Utasikia tumpe tu mda madirisha ma3 ya usajili team itakua htr sna...hii team Ndio ni mbovu sawa tunakubal.. Lkn ukwl usiopingika OGS sio kocha wa kariba ya kufundisha United na tuko hapa wata struggle nae mpk watamuondoa tu ni swala la mdaHumu napitaga kusoma comment mpaka huwaga nabakia kucheka tu yaani uhalisia unaonyesha chombo kinazama baharini, wasioangalia mpira wanakwambia we timu itakuja kuwa imara sana hapo baadaye
Wachekeshaji wengi sana Humu
Kipimo chenu sahihi baada ya game na wale wahuni Sheffield utd mkipata matokeo hapo mnaweza mkafika mbali
Rogers pia anawafahamu vizuri
Kweli, Leicester ile game yenu nilijua atapata hata droo. Bahati mbaya wakafa moja.
Jamaa wanacheza bila pressure yoyote ndo maana wasumbufu.
Ile si tulipata ngekewa wanaweza ingia Top four msimu huu sababu Tangia Brendan Rogers achukue timu ni Klopp na Pep ndiyo wamekusanya point nyingi then anafuata yeye kama sikosei
√Rashford as a straiker:...Hiki kitu hakiwezekani,hapa OGS aligamble kipumbavu kabisa kwa kumuuza Lukaku na kutokusajili chuma kingine..Huyu dogo hajui kujiposition hata kidogo,anaparamiana tu na mabeki and funny enough anakunja £200k
√Why Fred asicheze na McTominay then Pogba akasogea 10??,Lingard akiwa nyumbani kwake akicheki mechi kwenye TV..
√Tuanzebe anajiamini sana,kitu ambacho ni kizuri and sometime ni kibaya..ana some qualities though
√James alikuwa Poa,mwili mdogo ila stamina ya kueleweka
√Perreira somehow amejitahidi,,huwezi kumlinganisha na Superstar JLingz(Lingard) hata kidogo
√OGS ni mtu sahihi wa kuijenga hii timu tunayoitaka??..Tactically yupo vizuri??..I don't know aisee,ngoja tuendelee kuona
√Huyu refa anayeitwa sijui Friend huwaga ni mpuuzi sana na VAR sielewi ilikuwa ni kwa ajili gani
√Wakuu on serious note, how Pepe is £75m worth??
Pépé is with the team for only like a month. No preseason and it’s huge difference between French league and Premier League. Give him a break and judge him after whole season, not 3 games against top 6 clubs and two cames from the bench√Rashford as a straiker:...Hiki kitu hakiwezekani,hapa OGS aligamble kipumbavu kabisa kwa kumuuza Lukaku na kutokusajili chuma kingine..Huyu dogo hajui kujiposition hata kidogo,anaparamiana tu na mabeki and funny enough anakunja £200k