Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Tribalism kila sehemu.
Ukifikiria Lingard anaichezea MUFC halafu Gylf Sigurdsson yupo Everton unaweza kuamini uchawi upo hata ulaya.
Tribalism kila sehemu.
Ukifikiria Lingard anaichezea MUFC halafu Gylf Sigurdsson yupo Everton unaweza kuamini uchawi upo hata ulaya.
Man Utd ni timu ya kujenga kikosi kweli?
Dogo pekee wa academy ambaye naweza kusema anafaa kutegemewa kwa sasa ni Tuanzebe pengine na Brandon, hawa ndio wana nguvu hata ya kusukuma mpira.
Hao wengine ni wakutoa kwa mkopo hata msimu mmoja wakapate uzoefu, kuwategemea ni kubet.
Tribalism kila sehemu.
Jones na Pogba wote wameumia mechi na Rochdale.
Tripu moja Namtumbo,tripu moja Gereji.Pogba kawa kama basi la mkaa
Pogba kachoka anatoka kuondoka
Pochetino kuwa mrithi wa ole soon
Mbona nasikia habari za Wenger? |
Jones na Pogba wote wameumia mechi na Rochdale.
Na wasiwasi hapa kwa Pogba ni mchezo Ole anacheza. |
Man Utd ni timu ya kujenga kikosi kweli?
Do we have time for that?
Hata kama ni kujenga timu sio kwa huyu kocha anayejaribu. Timu alijenga Pep, unatoa magarasa unaingiza vyombo. Sasa Ole anatoa wachezaji anategemea akina Chong?😂😂 Itachukua miaka miingi sana kujenga. |
Dogo pekee wa academy ambaye naweza kusema anafaa kutegemewa kwa sasa ni Tuanzebe pengine na Brandon, hawa ndio wana nguvu hata ya kusukuma mpira.
Hao wengine ni wakutoa kwa mkopo hata msimu mmoja wakapate uzoefu, kuwategemea ni kubet.
Jones na Pogba wote wameumia mechi na Rochdale.
Mbona nasikia habari za Wenger?
sikubahatika kuangalia mechi ya juzi huyo brandon williams yupo vizuri?Upo sahihi Tuanzebe na Brandon Williams watanyang'anya watu namba pale OT

****.mamaamamake lingard namba tisa sina timu mimi kw sasa
No Kirusi(Pogba),Martial,Rashford on Monday..
Jesse' Lingard(JLingz) kama false No 9 vs Arsenal Jumatatu..
Hahahaha!!!
It will be a mess..
Tujiandae tu..
sikubahatika kuangalia mechi ya juzi huyo brandon williams yupo vizuri?
uchezaji wake anamkaribia japo kidogo dani alves wa sevilla au patrice evra?
au ndio wale wale jamii ya luke shaw.
au ndio wale wale jamii ya wan bissaka anayesifiwa kwa tackling pekee?
ni mzuri kwa overlapping kama jordi alba?
we need an overlapping full-back
kwani huyu lingard hawezi kuchezeshwa namba 6?****.mamaamamake lingard namba tisa sina timu mimi kw sasa
Hahahah si kila muda yataingia magoli tukwani huyu lingard hawezi kuchezeshwa namba 6?
watetezi wake wanasema jamaa ana muhimu sana pindi asipokuwa na mpira, kama ni hivyo achezeshwe namba sita ya uongo halafu isitoshe jamaa ana skills and pace ukimlinganisha na scott mctominay au perreira.
Vitoto vya academy vya hii timu ndivyo vilivyo vinadanganya sana hadi watu hawafanyi usajili vikiaminiwa tu vinageuka rashford na welbeckUpo sahihi Tuanzebe na Brandon Williams watanyang'anya watu namba pale OT