Kuna wachezaji wakubwa Kushinda Falcao, Di Maria, Ibrahimovic, Bastian na wengineo kipindi Chao? Wamekuja na wameshindwa, ilishajaribiwa kipindi Cha Fergie pia tukafeli, mtu mjinga Ni yule anarudia kitu kile kile muda wote na kinafeli.
Ole amesajili watu watatu tu na tumeona impact Yao, mpeni muda tumuone na yeye approach yake itakuwaje, hata Kama Ole hatafanikiwa na timu ikashika nafasi ya 8 atakuwa ameacha foundation nzuri ya Kocha anaekuja.
Ole ame address weakness nyingi za timu yetu Kama vile beki wa Kati na Fullback wa kulia, pia according to Dortmund Director man UTD wali approach kumnunua Sancho Ila waliambiwa deal haliwezi kamilika msimu huu
Not exactly a secret, is it?
thebusbybabe.sbnation.com
Na Sancho mwenyewe amekiri kuwapigia simu man UTD kuwa hayupo tayari kwenda timu kubwa msimu huu, means yupo interested kwa baadae kujiunga Man UTD. Hili pia linaonyesha Ole anaona weakness ya winga wa kulia na tayari analifix.
Imagine impact ya Bisaka/Maguire/James itokee Tena kwenye winga wa kulia, Midfield na striker kwenye madirisha yajayo ya usajili.