ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144
Hahahaha nimemsahau jina yule jamaa aliesema asipokua na mpira ana hatari balaa kuliko akiwa na mpira......anatuletea ushabiki wa kibongo humu
kwani huyu lingard hawezi kuchezeshwa namba 6?
watetezi wake wanasema jamaa ana muhimu sana pindi asipokuwa na mpira, kama ni hivyo achezeshwe namba sita ya uongo halafu isitoshe jamaa ana skills and pace ukimlinganisha na scott mctominay au perreira.

Mkuu uko serious na aya maneno yako au unatk wenzako tu waongee