Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
United haijawahi kuwa timu ya Galacticos mkuu
Nakubaliana na wewe kununua ready made players (lakini iwe baadhi) na kuangalia wachezaji wanaotoka academy.
Utamaduni huu upo toka enzi za Busby Babes mpaka enzi za SAF.
Kosa ni kung'ang'ania academy players ambao sio good enough. SAF mwenyewe aliwaachia akina Gibson, Cleverley, Diof, Drinkwater, Richarlson n.k alipoona sio United quality.

Hivi club kama Madrid project yao ya kujenga timu mbona ipo clear sana. Wamenunua Hazard, Mendy, Jovic etc.
Huu ndio ujenzi wa timu kwa kipindi cha soka la sasa. Hii project hata ikifeli sio Sawa na kuwasubiri akina Rashford, Lingard, Chong wakomae. Bayern the same imesajili vya kutosha.
Man bado inatakiwa iingie sokoni isajili wachezaji wakubwa wenye uwezo wa kuhandle pressure za timu kubwa.
Mourihno alionyesha njia kwa kuwataka akina Perisic. Hawa akina Perreira, Mactomay sijui hata wanaanza vipi hapo OT.