No Kirusi(Pogba),Martial,Rashford on Monday..
Jesse' Lingard(JLingz) kama false No 9 vs Arsenal Jumatatu..
Hahahaha!!!
It will be a mess..
Tujiandae tu..
teh teh.Hahahah si kila muda yataingia magoli tu
usisahau kuchukua nguo ya hakiba, ukiona goli zishakuwa tatu unavaa uzi wa arsenalSiku hiyo mapeeema naenda ukumbini na Uzi wangu wa United
Tominay the mad dog
Huyo tayari nimemtoa kwenye kundi la madogo kitambo sana. |
Ww unaprefer wenga????
Wenger ni mwalimu mzuri pia. Ila kwangu nilitamani sana Ancelotti awe kocha wetu. |
sikubahatika kuangalia mechi ya juzi huyo brandon williams yupo vizuri?
uchezaji wake anamkaribia japo kidogo dani alves wa sevilla au patrice evra?
au ndio wale wale jamii ya luke shaw.
au ndio wale wale jamii ya wan bissaka anayesifiwa kwa tackling pekee?
ni mzuri kwa overlapping kama jordi alba?
we need an overlapping full-back

Vitoto vya academy vya hii timu ndivyo vilivyo vinadanganya sana hadi watu hawafanyi usajili vikiaminiwa tu vinageuka rashford na welbeck
usisahau kuchukua nguo ya hakiba, ukiona goli zishakuwa tatu unavaa uzi wa arsenal
kwani huyu lingard hawezi kuchezeshwa namba 6?
watetezi wake wanasema jamaa ana muhimu sana pindi asipokuwa na mpira, kama ni hivyo achezeshwe namba sita ya uongo halafu isitoshe jamaa ana skills and pace ukimlinganisha na scott mctominay au perreira.

Akiweza kucheza 6 atakuwa kama Kante 😂😂😂 |
Mkuu hata angekuwemo huyo Pogba,hawa mnawapeleka kibra mikono juu mwendo wa mateka.Paul Pogba is a doubt for Manchester United's match against Arsenal on Monday Night Football, while Marcus Rashford and Anthony Martial are unlikely to return.
Lingard kuwa nae kwenye timu ni sawa na kucheza pungufu tuteh teh.
lingard ana skills halafu ana uwezo wa kutembea na mipira
fred ana skills na anaweza kutembea na mipira.
pogba hivyo hivyo.
nyuma tunalindwa na maguire
khofu ya nini?
utatu mtakatifu wa ukweli kuliko wa AC MILAN ya zamani.
HahahahahahahahahLingard kuwa nae kwenye timu ni sawa na kucheza pungufu tu
Hii timu imejifia kwa kweli zama zile had wakina diego forlan wanakosa namba wanasepa leo striker rashid mzee wa penat
Had muda huu yule dogo greenwood ana goli nyingi kuliko rashoord ktk huu mwez
😂😂😂😂😂😂😂😂Tribalism kila sehemu.
radika wewe tumeshakuzoea ni mshabiki wa kubadilika ovyo ovyo.Lingard kuwa nae kwenye timu ni sawa na kucheza pungufu tu
Hii timu imejifia kwa kweli zama zile had wakina diego forlan wanakosa namba wanasepa leo striker rashid mzee wa penat
Had muda huu yule dogo greenwood ana goli nyingi kuliko rashoord ktk huu mwez
mkuu unaonaje ukamshawishi radika ajiunge na liverpool?radika wewe tumeshakuzoea ni mshabiki wa kubadilika ovyo ovyo.