Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi uongozi wa Manchester United awajisikii aibu kuwa na team kama hii na huku ni team ya pili kwa mapato duniani
 
Kitu pekee nilikuwa nakiona na nimekithibitisha leo ni kwamba, tuna mafundi wengi wa penalty lakini huwa wanapewa wasiojua wawili.

perreira na mata kwa mipira iliokufa ni top top players, angalia hata kona leo, mipira inadunda katikati ya box, kugusa tu iingie nyavuni hakuna watu.
 
Kazi ipo
FB_IMG_1569447086203.jpeg
 
Ole sio kocha ni mhamasishaji..Hii kazi tuliyompa it's out of his ability..Hakuna timu ya kueleweka itakayojengwa na yeye

Kuna watu wanasema tunawachezaji wa kawaida..inawezekana,lakini sio kwa uchezaji huu tunaocheza.
 
Mbona Man u ya LVG ilitolewa na MK Don's tena kwa kupigwa goli nne OT ?
Kweli Ibilisi wekundu mmechoka,yaani Rochdale inawatoa jasho kiasi hiki? Hadi penalty timu ya division 2 huko,kazi mnayo na mjiandae kipsychologia mtanuna sana
 
nimecheck game ya jana nimeiona manchester moja nzuri saana ila miaka mi3 ijayo nyuma tupo vizur saana wan bissaka ni beki mzuri saana na marcus rojo naona amerudi kwenye kiwango inatakiwa kocha amuamini sasa. tuanzabe ni bonge la mchezaji kwanza ni mtulivu uwanjani hana papara na huyu dogo williams nae yupo vzr kwanza anaspeed..
 
Goli la jana Marcus Rojo hakufanya coverage upande wa kushoto baada ya Brandon William kuachwa angefanya coverage dogo angeshindwa kupiga au angepiga ikawa kona.

By the way dogo alitupiga goli classic sana

yule dg mzuri saana afu miaka16 kapiga game yoote
 
Miaka mitatu tunakuwa watazamaji tu si ndio
Na tutakua na misimu kumi bila epl

Back
Top Bottom