Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiacha spurs united ni timu ya pili kubwa kufungasha virago kwenye hii michuano....
Nasubiria hapa matuta tu no way
 
Wachezaji kudrible awawezi kona zote wanacheza wapinzani aya ya Spurs yanatokea Old Trafford
 
Nasisi tunapiga pasi za kuzunguka boksi kama barcelona.....haya ni zaidi ya mafanikio kwa Ole
 
Eti tumewatoa kwa penalties, hali yetu mbaya sana. Hatuna mfungaji. Lukaku angebaki angevuta magoli mengi sana mwaka huu.
 
Kweli Ibilisi wekundu mmechoka,yaani Rochdale inawatoa jasho kiasi hiki? Hadi penalty timu ya division 2 huko,kazi mnayo na mjiandae kipsychologia mtanuna sana
 
Back
Top Bottom