Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?

makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
Giovani Lo Celso ni majeruhi aliumia akiwa na timu ya taifa Argentina
Delle Alli nae alikuwa majeruhi aliumia wakati wa pre-season,moja ya sababu kubwa ya Spurs ku-struggle ni kuumia kwa Alli na Poch alikuwa anamweka benchi Eriksen sababu mind haikuwa sawa baada ya Eriksen kutamka anataka kuondoka na hakupata timu ya kumsajili kibaya zaidi Lo Celso ambaye ni replacement ya Eriksen nae akaumia
 
Hawa wakata nyasi (Rochdale) wakitudhalilisha leo inabidi Ole atimuliwe kabla hakujakucha..
Sitashangaa wakitupeleka matuta na kutolewa kama spurs maana washajua sasa ivi united ni kama rochdale.....na wao watabaki kuwa rochdale
 
Pereira kati.... Duuuh....
 

Attachments

  • IMG_y57crv.jpg
    IMG_y57crv.jpg
    16.7 KB · Views: 17
Dah Eti Tuamzebe Captain mbele ya Pogba, what a joke. Huyu OGS sjui anawaza nini kwakweli. Kwa dharau hizi halafu anataka jamaa asign asign mkataba.
 
Huyu Ole ata apewe miaka 10 awezi kujenga team unacheza na katimu kama ata kupiga pasi za uhakika timu inashindwa
 
Back
Top Bottom