Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maajabu hayataisha jamaa anachokifanya ni kuhamisha goli hapo maana priority yetu sie ni makombe na sio faida
Huwezi mtegemea huyu mtoto akufikishe sehemu

Kuna makosa OGS anayoyafanya, mojawapo ni kuwategemea sana hawa watoto (Tony Martial+Rashy). Na ikamfanya auze Lukaku bila kuleta mbadala

Kosa lingine ni team selection, how in the world can Matic play ahead of Fred. Only OGS can answer this

Kosa lingine ni kushindwa kuleta creative midfielders pale United

Haya mambo ilibidi ayafanye summer iliyopita, dirisha linalofuata tuangalie namba nyingine kama left back na holding midfielders

Naona Ed leo ametoa taarifa ya United kuingiza mapato yaliyovunja record, £627.1m. Huko Glazers walipo watakuwa meno yote nje.
 
Ole anaonesha immaturity kwenye coaching na management, hajifunzi

Ed ni mzuri kwa kile Anachofanya (upande wa biashara),ndio maana Glazers hawawezi kumtimua

Kuwepo kwa football Director (tena asiwe legend wa United) italeta balance nzuri kati maslahi ya biashara na mafanikio kwenye soka
Maajabu hayataisha jamaa anachokifanya ni kuhamisha goli hapo maana priority yetu sie ni makombe na sio faida
 
Na habari nilizozipata hapa manchester ni kwamba wakimfukuza ole watakua wamefanya usaliti mkubwa kwaiyo hilo swala halitawezekana
 
Na ubovu tulionao huhuu na wachezaji wengine hawatakuwepo kama pogba,matial,rashford lakini chakushangaza arsenal tutawafunga
 
Back
Top Bottom