Hizi live streaming bhana ndo naona goli saiv [emoji23]Kipofu kauona mwezi
Hizi live streaming bhana ndo naona goli saiv [emoji23]
Hawa madogo wameridhika mzee si wapo chama kubwa wenzao wapo league 1 hii fursa wanaitumia ipasavyoAnglia awa watoto wanavyo forc lakini wachezaji wa Manchester wanacheza slow kama wamelazimushwa
Huu ndio unaitwa uzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hama tu sie tuachie tutashuka nalo daraja
Hahahahaha huu Si uungwana mkuhmarcus rashford
amecheza nusu msimu chini ya louis van gaal
amecheza misimu mitatu chini ya jose mourinho
anaelekea kucheza msimu mmoja chini ya ole gunnar solskjaer.
lakini bado tunaambiwa jamaa ni mtoto kwa sababu ya umri wake.