Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wachezaji laini hivyo kumleta epl ni betting ya bwege
hata huyo pirlo alifanikiwa kisoka kwa sababu alilindwa na wababe kila sehemu aliyocheza.

ac milan = gattuso na ambrosini
juventus = vidal na marchisio
italy = gattuso na de rossi

huyo mtoto ukimleta kwetu anakuja kulindwa na mpuuzi scott mctominay pamoja na yule mjinga perreira.
 
hamna kitu kigumu kama kuhama timu jana nimeludi geto nichome jezi nikashindwa saizi nimeuchapa uzi hapa og unamelemeta tu
Hahahah mm.nilijua zile hasira tu, ndio maana nikisika mtu eti kahama timu, siamini
 
Ooh Spurs out! I wish something too.
Poch kachoka sasa!
Spurs Pochetino kocha bora sana changamoto anayopambana nayo ni usajili

Forwards pale mbele walio katika kiwango ni Kane na Son tu, Dele ameflop Lamela Garasa Moura kiwango chake sio consistent

Msimu uliopita hakusajili kabisa then dirisha lilofungwa hajaletewa Forward hata mmoja
 
Poch ni kocha mzuri na anaweza akajenga timu ikaimarika akiwa na support ya maana, ila alishaweka waz hatakua na furaha kama msimu huu hatabeba chcht, muujiza wa UCL sidhan kama utarud tena, saiv ataegemea angalau FA ambay nayo si arihis abebe kwahy hatabeba chcht msimu huu hvyo claims zake ni kama atasepa hiv
 
Atakutana na wakabaji hatari sana pale epl kina Ndidi, Docoure, Toreira, Kante, Fenandinho, Fabinho, etc atapiga hata pasi epl ni ligi ya wabishi.
hata huyo pirlo alifanikiwa kisoka kwa sababu alilindwa na wababe kila sehemu aliyocheza.

ac milan = gattuso na ambrosini
juventus = vidal na marchisio
italy = gattuso na de rossi

huyo mtoto ukimleta kwetu anakuja kulindwa na mpuuzi scott mctominay pamoja na yule mjinga perreira.
 
Erling Braut Haaland has appeared to welcome the possibility of a future move to Manchester United after speaking of the huge impact Ole Gunnar Solskjaer has had on his life.
Haaland netted a hat-trick on his Champions League debut against Genk last week, leading to rumours that United and Arsenal were set to go head-to-head to sign him.
And the 19-year-old’s impressive track record this season – he now has 17 goals and registered five assists in 10 matches – has led to suggestions that Barcelona were also keeping tabs on the player, with the player’s father, the former Leeds and Man City midfielder Alf-Inge Haaland – commenting on the interest in his son’s future.
However, it would seem United hold all the cards over the race to sign the teenager, with the player spending his formative years at Molde under the guidance of Solskjaer and Haaland has admitted his countryman has already had a huge impact on his life and career.
Speaking to Norway’s TV2 , and as translated by the excellent Sport Witness , Haaland said: “He has had a huge impact on my life, both as a person and as a trainer. He won the Champions League and was an incredibly good player.
“He has taught me a lot. Solskjaer is a fantastic person and a very good coach. He is one of the reasons I am here today,” the Salzburg star said.
Haaland was born in Leeds and grew up a fan of the Yorkshire club and appears open to the idea of playing in the Premier League one day.
Discussing a future transfer, he continued: “I have dreamed of playing for the best clubs in the world my whole life, and I especially like English football.”
Manchester United, meanwhile, are reported to be preparing an ‘exorbitant new deal’ for €150m star, amid talk of interest from Real Madrid.

Magazeti ya Uingereza kwa uzushi hayana mpinzani.
 
Forwards pale mbele walio katika kiwango ni Kane na Son tu, Dele ameflop Lamela Garasa Moura kiwango chake sio consistent
pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?

makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
 
Kwa kufunga dogo anaweza kufunga nimemwangalia kwenye highlights za mechi nyingi chance mbili moja lazima afunge.

Anaweza kutumia miguu yote japo kulia yuko vizuri zaidi.

Area management (positioning)uwanjani anaonekana anaweza kama baba yake mdogo Ole

Aerial balls anacheza pia japo siyo clinical sana ila anaweza kuwa na impact zaid kuliko washambuliaji tulionao kwenye aerial balls.

Mobility yake uwanjani yuko ok hapa nazingatia assessment yangu kwenye game na Genk.

Ball control yuko vizuri kwa level ya striker anaweza kufanya dribbling na kupiga pia.

Sijamuangalia vizuri kwenye long range shots nadhani hii nikutokana na uchezaji wake wa kucheza sana kwenye final third.

Anticipation yake ni nzuri na unafunga sana kwenye situation za one against one or one against two.

Passing Accuracy sina doubt he is good

Conversion rate ni kubwa sana kuna mechi ya Norway vs Honduras Alitupia goli 9 peke yake kwenye game moja.

Mpaka sasa kacheza mechi 9 katupia goli 17 hat trick katupia mara nne kama sijakosea

Physical presence yake uwanjani ni nzuri compared to our Martial n Rashford.

Sema pale Salzburg kuna mchawi wa kikorea huenda ndiyo game maker wa Halland.
 
Haha kusema kweli Dele Ali hata mimi namkubali kama Poch sema msimu huu hayupo vizuri sana
pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?

makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
 
Kwa kufunga dogo anaweza kufunga nimemwangalia kwenye highlights za mechi nyingi chance mbili moja lazima afunge.

Anaweza kutumia miguu yote japo kulia yuko vizuri zaidi.

Area management (positioning)uwanjani anaonekana anaweza kama baba yake mdogo Ole

Aerial balls anacheza pia japo siyo clinical sana ila anaweza kuwa na impact zaid kuliko washambuliaji tulionao kwenye aerial balls.

Mobility yake uwanjani yuko ok hapa nazingatia assessment yangu kwenye game na Genk.

Ball control yuko vizuri kwa level ya striker anaweza kufanya dribbling na kupiga pia.

Sijamuangalia vizuri kwenye long range shots nadhani hii nikutokana na uchezaji wake wa kucheza sana kwenye final third.

Anticipation yake ni nzuri na unafunga sana kwenye situation za one against one or one against two.

Passing Accuracy sina doubt he is good

Conversion rate ni kubwa sana kuna mechi ya Norway vs Honduras Alitupia goli 9 peke yake kwenye game moja.

Mpaka sasa kacheza mechi 9 katupia goli 17 hat trick katupia mara .

Physical presence yake uwanjani ni nzuri compared to our Martial n Rashford.

Sema pale Salzburg kuna mchawi wa kikorea huenda ndiyo game maker wa Halland.
Huyu ole alimuokota kusikojulikana, tukimtaka atakuja, Ila mpaka Woodward ampitishe Kama ana impact nje ya uwanja.
 
Na ubovu tulionao huhuu na wachezaji wengine hawatakuwepo kama pogba,matial,rashford lakini chakushangaza arsenal tutawafunga
Last season haukugongwa nyundo tatu wewe!!!!mbona mnapenda kujisahaulisha?wewe jiandae maana msimu huu hadi norwich wanaombea wakutane na nyinyi mapema
 
pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?

makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
Mapenzi ndio yanakuja kuwaponza

Delle ameshuka kiwango kwa kiasi cha kutisha sana Kocha akawa anamuamini tu
 
Back
Top Bottom