Halafu beki namba 2 wa Rochdale bwanamdogo sana ana miaka 16 tu.Duh dk 32 Manchester wamecheza foul 8 awa watoto 0
Halafu beki namba 2 wa Rochdale bwanamdogo sana ana miaka 16 tu.Duh dk 32 Manchester wamecheza foul 8 awa watoto 0
Halafu beki namba 2 wa Rochdale bwanamdogo sana ana miaka 16 tu.
Halafu beki namba 2 wa Rochdale bwanamdogo sana ana miaka 16 tu.

Chong is overrated
Nguvu hata miguuni hana. |
Hapa ndipo mnaponiacha , maana sisi tuna kituko emery , Yaan kama hatuna kocha, ila nyie nashangaa mnasema pia hamna kocha , wakati mm naona , Ole ana wachezaji wakawaida wengi ndio tatizo kuu ,
Timu haina mwalimu hii, unaweza kuona tofauti yetu na hao madogo. Madogo wana mwalimu.
Chong kalegea kweli yani hahaha hii timu ishajifia kama half time hatuna goli hata la offside tunafanya nini kwenye EPL shwain timu.
Masai tuachie timu yetu asee huna mpya kazi kuvaa suti tu kwa raha gani na litimu bovu bora avae track.![]()
Mihemko ya kumpa Ole timu itatumaliza😂😂 Timu inachezacheza tu hamna mipango. Hiyo Jumatatu Arsenal watatupigia kelele sana humu. |
Hapa ndipo mnaponiacha , maana sisi tuna kituko emery , Yaan kama hatuna kocha, ila nyie nashangaa mnasema pia hamna kocha , wakati mm naona , Ole ana wachezaji wakawaida wengi ndio tatizo kuu ,
Unai ni mwalimu mzuri, mwalimu unaweza kumuona hata kama ana wachezaji wabovu vipi. Kama ulitazama game yetu na West ham unaweza kuona tofauti ya mwalimu na mhamasishaji. |
Huyu dogo akacheze kwa mkopo kule ecuador kwa kina ValenciaChong is overrated
Chong is overrated