Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuliweka hizi tahadhari mapema sana
Haha kweli hata mimi naamini timu yetu bado sana kuipa nafasi ya ushindani epl .
Ligi ikianza ndiyo tutajua kama tuna team ya ushindani au lah.
 
Nimekumbuka hapa pia
 
We unaweza kuuza lukaku sanchez na herrera halafu ukabaki salama? Namba zao anaziba rashford lingard na martial ukijuosha wote wana goli za lukaku
Sio unabii, ila nilivyoona hakuna replacement ya Ander Hererra. Nilishahisi tatizo.
 
Man u polen sana

Na nyie hamna kocha kama sisi au wachezaji uwezo mdogo?

Kocha bora hata arsenal mpira unaonekana madhaifu ni madogo kiungo cha arsenal kinatengeneza hata nafasi sasa hapo utasemaje matatizo players wakat kocha kamuachia herrera na lukaku?

Herrera anaweza kukaba na kutengeneza nafasi wakat scott na mwenzie perreira huo uwezo hamna

Yaani tumerudi hatu 10000 nyuma toka kwa mourinho

Ukiangalia hata uwiano wa ushindaji wa mech ulikuwa mzur sana wa mourinho shida ilianzia kwa kuwalinda martial na pogba wauza jez
 
Kama dirisha la usajili litafungwa hatujafanya usajili zaidi ya kina Bissaka tutapigwa sana tu
Hizi imani sio
radika bado vipi umeona tunakoenda ?
Msimu tunaweza kupoteza 1/3 mechi zote za ligi timu haitengenezi nafasi nyingi za kufunga magoli hata chache wanazotengeneza hawazitumii mpaka wapate penalty majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…