Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ktk makombe 13 rol uefa na club world cup huko kote na mech zote alikuwa akichezesha web hakika uefa na epl walitupendelea sana kama kila mech ilichezeshwa na web pia liverpool si timu ya kutisha liverpool ni spurs iliyochangamka
Hivi Cr7 na yeye alikuwepo wakati munabeba ile club world cup?
 
Mkuu hii Manchester nakiri kwamba ukikutana nayo basi angalau hata draw utakuwa ni ushindi mkubwa sana na nakumbuka pamoja na ubovu wa Liverpool wa wakati ule ..bado wali mentain kupata matokeo mbele ya sir Alex ..ila Chelsea ndo alikuwa akiwasumbua sana ..

The best of Man United ..kwangu mimi naona hich ndio kikosi bora kuwahi kutokea apo OT..

Kila la kheri Chelsea
 
Kuna vitu vingine usibishe ilimradi tu kuna siri kuwa Refa Howard Web alikuwa na mapenzi binafsi na Ferguson na Manchester United,Ilifikiaa wakati mechi ya Manchester United akichezesha Howard Web utafungwa kivyovyote vile na kwa njia yoyote ile.
Dah nakumbuka ile game dhidi ya Man united Web anatoa red mbili kwa Chelsea na Chicharito anafunga goli la offside ..japo walishinda 3-2 lakini web alidhihirisha mapenzi yake binafsi kwa Man united..

Binafsi web alichukia sana Chelsea..

Baadae nakupiga


Kila la kheri Chelsea
 
Asee tunakufahamu banaa wewe ndo King wa mipasho
tena mingi unaletaga kule kwetu ..Mara tunaupiga mwingi, Mara lampard akatizi desemba...hahaha

Mipasho ni sehemu ya ushabiki wa mpira na Nina imani kila shabiki lazima awe na mipasho japo viwango vinatofautiana kimtindo...

Hata hii uliandika tayari ni mipasho maana unaongea kwa kujilinda uku ukiponda upande mwingine...

Leo nakupiga ..

Kila la kheri Chelsea
 
Hahahahaha kibanda umiza uku mtaani kwetu unakutana wanashangilia watu watatu/wanne/wawili ...hahaha hii Liverpool bana
 
Chelsea tumetisha tuko namba tatu!!

Leo nakupiga mkuu..

Kila la kheri Chelsea
 
Wakati una draw na wolves mulijaa kule kweny uzi wetu na kujitamba wolves umedraw Naye na sisiatatukalisha.. lakin kilichotokea kila mtu anajua ..Watford alimkazia Arsenal kaenda kula 8-0 uko..

Kila la kheri Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…