Mpaka mei 2020 ni wiki ngapi tuwapigie kabsa hesabu hawa wenzetu?Point moja moja kila wiki
hahahahaha eti lingard should come in for him.....stupidGame ikiisha kuna watu wataendelea kusema kwamba wachezaji wa United wanamwangusha Pogba
Pereira hayupo vizuri, Lingard should come in for him
Na bado..lukaķu atakumbukwa sana..hamna recognized striker pale...
Afadhali january wamchukue ibrahimovic awaokoe japo kwa miezi 5...
Hahahaaaaaaa
Harry Maguire......
OGS is a problem. this team has not improved anything since he came in. Nothing. He is short of so many managerial issues.
Kama akina Ronaldo na Messi ni 90‰ ya uchezaji
Hivi Pogba anafanya makusudi au ndio kiwango chake?
Binafsi sijawahi kuamini kama Pogba ni mchezaji mzuuuri kama anavyopambwa na baadhi ya wapenda soka.
Nitaendelea kuwakumbusha tu.Ole Soksi out banners flying by Christmas
Sasa tukimuuza ci tunashuka daraja mkuuMuuzeni muone shughuļi
Southmpton 1 Man Utd 2
Bado miezi 3 maandiko yangu yatimie.Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Kwani nimesemaje kuhusu maguire? Pole, najua timu imekuchanganya...Harry maguire anahusika na nini hapa umetia wivu
Kwa upande wa lukaku siku ya kwanza tu nilijua kocha kabugi huwez kujenga timu bila wajuz angalia klopp alivyoanza na liverpool alichomoa wazoefu wabovu taratibu huyu sosha dirisha moja kafukuza wazoef si chini ya wa 5
Hilo jambo lipo arsenal kama la sosha nako kule hamma jipya yamejaa mazeee ya bure tu
Nyoleguna Nyosha at the raiti tiraki