Sikatai cheif,ila mchezaji wa kaliba yake lazima awe na mchango kwenye team kama sio ku score basi ku assisst,sasa yeye mara ya mwisho kufunga àu kuassist ilikua Dec 2018 akifunga goli 3 kwa style hiyo unadhani anafaa kuendelea kuanza au kucheza kisa tu amekubalika na walimu wote wa 4 ikiwemo UK?enzi za SAF haikua rahisi play maker kucheza miezi 8 bila kuscore wala kuassist ndo maana hata kina Ole walikua wanatokea sub na rating zao zilikua nzuri haipiti mechi 5 bila kuscore au kuassisst.Lingard ukitoa MU hakuna team nyingine kati ya big 6 anayoweza ruhusiwa kufanya hata mazoezi. Angalia Leicester kuna Maddison,City kuna Bruyne,etc..Lingard ni mchezaji wa hovyo kuwahi kucheza MU bora hata Obertain-Uingereza lingard toka apate namba man u anaitwa, na sio tu kuitwa anacheza,
-van Gaal alikuwa anamkubali Sana
-mourinho alikuwa anamkubali sana
-ole pia anamkubali Sana
Kama walimu 4 tofauti kila mmoja anamuona Ni mchezaji mzuri kuanza Kuna Jambo pengine hujaliona
Nakubali Lingard sio top player Ila usi mu underestimate jamaa ana skills za kipekee, na attribute yake kubwa Ni off the ball, akiwa Hana mpira Ni hatari zaidi kuliko akiwa na mpira.
Kunamtu humu alisema alhmisi tunacheza europa halafu mechiya southampton inachezwa jumapiliKesho mapema tu
14:30 EAT
Vs Saints
We need to win this,atleast tuende kwenye international break vizuri..
My starting eleven prediction
De Gea
Bissaka Lindelof Maguire Young
Perreira McTominay
Greenwood Pogba James
Rashford
..
Natamani kweli jamaa atuambie hatari ya bila kua na mpira
Mkuu lingard kwa Ferguson alikuwa anaitwa ji Sung park,Huyu jamaa kwenye mechi 204 ana goli 28 na assist 29 tu. Kwa msimu anakupa goli 6 ama chini ya Hapo na assist hivyo hivyo. Ila goli zake Ni muhimu na kwenye mechi kubwa zaidi ana umuhimu zaidi.Sikatai cheif,ila mchezaji wa kaliba yake lazima awe na mchango kwenye team kama sio ku score basi ku assisst,sasa yeye mara ya mwisho kufunga àu kuassist ilikua Dec 2018 akifunga goli 3 kwa style hiyo unadhani anafaa kuendelea kuanza au kucheza kisa tu amekubalika na walimu wote wa 4 ikiwemo UK?enzi za SAF haikua rahisi play maker kucheza miezi 8 bila kuscore wala kuassist ndo maana hata kina Ole walikua wanatokea sub na rating zao zilikua nzuri haipiti mechi 5 bila kuscore au kuassisst.Lingard ukitoa MU hakuna team nyingine kati ya big 6 anayoweza ruhusiwa kufanya hata mazoezi. Angalia Leicester kuna Maddison,City kuna Bruyne,etc..Lingard ni mchezaji wa hovyo kuwahi kucheza MU bora hata Obertain
Hilo tusi unamtukana pia Mou, ole, LVG, Southgate na Hadi Fergie.Hahaha eti akiwa hana mpira ni hatari zaidi.....kaka jiangalie kwenye kioo halafu sema mimi ni stupid
😂😂😂😂 eh, mchezaji anayekuwa hatari akiwa hana mpira kuliko akiwa nao huyo si ni ibilisi sasa, dah kweli nimeamini lingard ni mchawi, kama kuna mtu anaweza kumtetea kwa namna hii, basi makocha hawana namna nyingine ila kumpanga tuu kwenye first eleven yao.-Uingereza lingard toka apate namba man u anaitwa, na sio tu kuitwa anacheza,
-van Gaal alikuwa anamkubali Sana
-mourinho alikuwa anamkubali sana
-ole pia anamkubali Sana
Kama walimu 4 tofauti kila mmoja anamuona Ni mchezaji mzuri kuanza Kuna Jambo pengine hujaliona
Nakubali Lingard sio top player Ila usi mu underestimate jamaa ana skills za kipekee, na attribute yake kubwa Ni off the ball, akiwa Hana mpira Ni hatari zaidi kuliko akiwa na mpira.
Utetezi wa wanaomtetea Lingard ni kichekeshoSikatai cheif,ila mchezaji wa kaliba yake lazima awe na mchango kwenye team kama sio ku score basi ku assisst,sasa yeye mara ya mwisho kufunga àu kuassist ilikua Dec 2018 akifunga goli 3 kwa style hiyo unadhani anafaa kuendelea kuanza au kucheza kisa tu amekubalika na walimu wote wa 4 ikiwemo UK?enzi za SAF haikua rahisi play maker kucheza miezi 8 bila kuscore wala kuassist ndo maana hata kina Ole walikua wanatokea sub na rating zao zilikua nzuri haipiti mechi 5 bila kuscore au kuassisst.Lingard ukitoa MU hakuna team nyingine kati ya big 6 anayoweza ruhusiwa kufanya hata mazoezi. Angalia Leicester kuna Maddison,City kuna Bruyne,etc..Lingard ni mchezaji wa hovyo kuwahi kucheza MU bora hata Obertain
Kwahiyo kukimbia kimbia tu bila kutoa assisst wala kufunga ina faida gani?basi tungemsajili bolt awe ana kimbia kimbia tu kuwahadaa wapinzani uwanjani.Lingard ni rubbish playerKwa watazamaji tu wa mpira hii ni ngumu sana kuielewa, lakini kwa wale wapenzi wa soka wanaoangalia soka kwa jicho la 3 wanaielewa vizuri hii
Ngoja nijaribu kukuelewesha
Miaka ya nyuma mchango wa mchezaji especially mchezaji wa mbele ulikuwa unaangaliwa zaidi pale mchezaji alipokuwa na mpira (hapa tunaongelea ku dribble, kutoa pasi, kufunga na kadhalika)
Miaka ya hivi karibuni Baada ya mpira kuwa na ufundi mwingi (hapa naongelea tactics na sio technics) movement za Wachezaji bila mpira zikaonekana ni muhimu kama zilivyo movement za mchezaji akiwa na mpira
Tunaposema mchango wa mchezaji bila mpira, hapa tunaongelea movement za mchezaji, sio kusimama sehemu moja kusubiri upewe pasi, kukimbia huku na kule ili umpe options nyingi mtoa pasi (Teamate wako mwenye mpira kwa wakati huo), kukimbia huku na kule ili uwachanganye mabeki wasijue wamkabe nani maana wakikufuata wewe pasi anapewa mchezaji mwingine na wakimkaba mwingine pasi unapewa wewe unafunga. Hapa ninaongelea timu kuwa DYNAMIC na sio PREDICTABLE.
Pia movement bila mpira inahusisha kukaba/pressing kuanzia juu/kwa wapinzani ambapo hii kazi sio kila mchezaji duniani anaiweza. Lakini movement bila mpira, kama umewahi kucheza mpira wa basketi utanielewa zaidi, unakuta mchezaji anakaa Njiani kimakusudi ili beki asipite kuzuia, na hii mbinu inatumiwa sana na Barca na City kwa sasa (mfano rahisi ni kama kona zinapopigwa halafu foward anakaa mbele ya kipa, sasa hii ipo hata mchezo unapoendelea katikati ya uwanjani) .
Tukirudi kwa Jesse, changamoto aliyonayo ni kutochangia sana timu yake ikiwa na mpira na kwenye hili anapaswa kurekebisha lakini kuna kazi kubwa sana anayoifanya bila mpira
Nicheke tena na mimi Mkuu
Nimekuelewa mkuu,ila JSP alikua anatukosha mashabiki hata kama hafungi ila kuna kitu tunakiona na mchango wake ulikua mkubwa sana sana ambao Lingard hawezi vaa viatu vyake,bado Jess hastahili kuanza MUMkuu lingard kwa Ferguson alikuwa anaitwa ji Sung park,Huyu jamaa kwenye mechi 204 ana goli 28 na assist 29 tu. Kwa msimu anakupa goli 6 ama chini ya Hapo na assist hivyo hivyo. Ila goli zake Ni muhimu na kwenye mechi kubwa zaidi ana umuhimu zaidi.
Lingard yupo hivyo hivyo, unafahamu mkuu makombe yote ya ligi tuliocheza Wembley Ni lingard alietupa?
1. Fainali dhidi ya Crystal palace Ni lingard aliefunga goli la ushindi na tukachukua kombe Wembley
2. Fainali dhidi ya Southampton Ni lingard kafunga goli la ushindi na kuchukua kombe wembley
3. Fainali ya community shield Ni lingard kafunga goli la ushindi dhidi ya Leicester Wembley.
Hajafunga fainali dhidi ya Chelsea tu, so fikiria tunacheza fainali 4 mchezaji mmoja anafunga fainali 3 Tena goli la ushindi huoni Mchango wake?
Ukitoa Hapo pia jamaa anafunga Sana big matches,
Jamaa ana goli 17 tu premier league lakini goli 6 Ni against top teams Kama Arsenal, Liverpool na Chelsea.
Wewe unamuona mbaya sababu Hana mtu wa kurotate nae Ila jamaa sio mbaya Kama mnavyosema, na hizo stats zinazosemwa kuhusu jamaa kuto perform toka 2019 ianze ukumbuke lingard aliumia mara 2 Kama sio 3 kipindi Hiko.
Kuna watu wana mahaba na Lingard hata aharibu vipi bado watu watasema akiwa hana mpira ana madhara zaidi..hahahahah aiseeUtetezi wa wanaomtetea Lingard ni kichekesho
Hata Ma Centerback ngumu sana kufikisha mwaka mzima bila kufunga goli la kichwa au Cross
Lingard magoli na assists amezidiwa hata na Viungo wakabaji, beki za Pembeni
Hakuna namna apangwe tuu ila ipo siku naye atakufa tueh, mchezaji anayekuwa hatari akiwa hana mpira kuliko akiwa nao huyo si ni ibilisi sasa, dah kweli nimeamini lingard ni mchawi, kama kuna mtu anaweza kumtetea kwa namna hii, basi makocha hawana namna nyingine ila kumpanga tuu kwenye first eleven yao.
GGMU
I love this game
Kuna kipindi(miaka ya 2011 mpaka 2013) mimi na kaka yangu tulikuwa tunachukia kweli kweli tukiona jina la Michael Carrick miongoni mwa watakaocheza siku hiyo. Ajabu hata baada ya sir Alex kustaafu, bado alichezeshwa na makocha waliofuata. Nilikuja kuona umhimu wake alipoumia.Nimekuelewa mkuu,ila JSP alikua anatukosha mashabiki hata kama hafungi ila kuna kitu tunakiona na mchango wake ulikua mkubwa sana sana ambao Lingard hawezi vaa viatu vyake,bado Jess hastahili kuanza MU
Si kwamba hafungi kabisa msimu wa juzi ambao alikuwa fit na kucheza wote ana goli 13 na assist 7,Utetezi wa wanaomtetea Lingard ni kichekesho
Hata Ma Centerback ngumu sana kufikisha mwaka mzima bila kufunga goli la kichwa au Cross
Lingard magoli na assists amezidiwa hata na Viungo wakabaji, beki za Pembeni
Nimesema kante na Joginho wote ni bora kuliko Scot Mkuu labada alama << nilipitiwa kuiweka tuToka lini Scott McTominay awe level moja na Jorginho achilia mbali Kante, Ngolo?
Kante ambae anatembea na mpira na kupita katikati ya msitu wa wachezaji unamtafutia wa kumlinganisha nae dunia hii?
Hahaha Mimi Epl kwa wachezaji wa Kingereza nampenda Delle Alli tu.Sikatai cheif,ila mchezaji wa kaliba yake lazima awe na mchango kwenye team kama sio ku score basi ku assisst,sasa yeye mara ya mwisho kufunga àu kuassist ilikua Dec 2018 akifunga goli 3 kwa style hiyo unadhani anafaa kuendelea kuanza au kucheza kisa tu amekubalika na walimu wote wa 4 ikiwemo UK?enzi za SAF haikua rahisi play maker kucheza miezi 8 bila kuscore wala kuassist ndo maana hata kina Ole walikua wanatokea sub na rating zao zilikua nzuri haipiti mechi 5 bila kuscore au kuassisst.Lingard ukitoa MU hakuna team nyingine kati ya big 6 anayoweza ruhusiwa kufanya hata mazoezi. Angalia Leicester kuna Maddison,City kuna Bruyne,etc..Lingard ni mchezaji wa hovyo kuwahi kucheza MU bora hata Obertain