OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Apo Man united kikosi chenu ni cha kawaida sana ..huwezi mtegemea Rashid au Marshal au Lingard kuleta ushindani wowote kwenye ligi.. angalia watoto wa Chelsea wanaeza compete furesh kwenye Ligi kuliko iyo front yenu ya mbele..Hawazidi wa'4 hao wengine ni level ya DANIEL JAMES wetu.
Yaani Chelsea kupigwa 4-0 na hao akina Rashid we hukuona mtakavyoteseka season hii? ...
Huyo Kepa anafukuzana na kipa wa West ham kuruhusu magoli... labda awe kipa namba moja wa Spain ya London.
Zouma anamueka benchi P.JONES kule nje kwenye benchi kusogeza matako foleni ya sub.
Mkuu Kama nilivyokuambia post ya juu imethibitishwa na medical ya inter jamaa alikuwa 104KG sio Maneno ya Garry Neville Peke yake. Garry alipost 9 mwezi wa 8 na tarehe 17 ikathibitishwa na madktari wa inter, naweza kukutafutia source ukitaka.I know players anaowataka OGS ni ngumu kuwapata hana ushawishi sana na timu haiko Champions League but alipaswa kutafuta short time solution kulikuwa kuna free agent wengi ambao hawahitaji mishahara mikubwa na wangesaidia kwa kipindi hichi (LLorente,Ribery,)tatizo timu ikifanya vibaya Woodward/Glazer hawatamwacha watamfukuza
Issue ya uzito ni propaganda za Waingereza (GNeville ndio alianzisha story), mashabiki wamekuja kumchukia baada ya yeye kuanza kujibu hizo shutuma.Luke Shaw misimu karibu yote tangu atue United ni overweight but huwezi kusikia kina GNeville wanamponda sababu ni kijana wao.Pogba alivyokosa penati GNeville alianza kumponda but alivyokosa Rashford akabadilisha gia
Lukaku amechemsha United last season sababu makocha wameshindwa kutengeneza mfumo wa kumfanya afunge magoli mengi,Hatuna wingers wanaopiga krosi na one of the streghth za Lukaku ni mipira ya juu na muda mwingi alikuwa anakuwa isolated peke yake
Game ya away against PSG Lukaku alidhihirisha anaweza kucheza formation ya OGS (4-3-3) I think ulimuona alivyo-press.The same player ambaye ana 104 kg alikuwa akicheza Belgium anafunga magoli (kuanzia 2018-2019 kacheza mechi 16 kafunga magoli 17)
Lkn Luiz akija Arsenal ana namba ya kudumu. Hapo tungewapa Christensen au Ludiger? Achilia mbali Joginho, Kovacic, Kante na Pulisic au EmersonSio wanne tu, Chelsea haina quality players wakupambana hata na Everton, Leicester , wolves , achilia big 6, Ollachuga anajifariji tu, ila hakawii kujipiga Ban ,
Ukweli Chelsea kupata point kiuhakika ni kwa timu zilizopanda daraja tu, ukimuangalia Burney ,wolves ,Leicester , Watford ,Everton , hata astonvilla unaona kabisa Chelsea hawez kuchukua point kwa hao kirahisi .
Ndio maana kabla ya msimu niliwaambia Chelsea wakikaza watamaliza nafas ya 10
Wakikubali vipigo ovyo bas watakuwa wanagombania nafas ya 15 .
Chelsea wanamtegea William ambaye hana historia ya kuvuka magoli 5 kwa msimu, toka aanze KUCHEZA, ni Mara moja tu alifikisha goli 8.
Wanamtegemea Abraham ambaye game tafu kama za kina wolves , Everton , itakuwa ngumu kuwabeba , tukija beki yao inavuja , ndio maana mpaka sasa wameruhusu goli 7 ,
Muda utaongea zaidi
Aha kuandika ujinga wewe ..sisi tuna garassa gani sasa? Iyo arsenal yenye Luiz na Matteo unaona ni timu sasa? Wewe level zako ni Burnley na Norwich ..yani ata Wolves anakukimbiza mbali sana ..hii Arsenal sio timu ni kikundi cha wauni tu waliokosa muolekeo wakajieka sehemu moja ...unaona hata Unai anashindwa kupanga kikosi...MAJIRAN VIPI TENA ,AU NDIO SAFISHASAFISHA IMEANZA...KAMA TUNAVYOFANYA SISI, ...MWENYE MAGARASA SI ATABAKI CHELSEA PEKE YAKE SASA
Chris Smalling to AS Roma from Man United, here we go! Total agreement for a simple loan (€3M to Man Utd) without buy option. The player has accepted.#MUFC #Roma #transfers
Hivi kati ya Arsenal na Lee King him self Chelsea nani ana beki mbovu??Hapo kwenye beki kuna vituko sana.. timu ambayo haitapata magoli kwa ukuta ule basi wajitathmini.
Wewe endelea kuleta imani zako za kuunga kuunga ..unaona juzi ulitabiri ushindi mnono wa 1-3 ..lakini matokeo tunayo sisi fansMm naamin Chelsea kwa kikosi chenu mtamaliza nafas ya 10
Hiv kumfunga Norwich tena sio kumfunga labda Cap , ni 3-2 tayari una aamin attacking ya willian/pulisic Abraham na Pedro?upo serious kweli?Apo Man united kikosi chenu ni cha kawaida sana ..huwezi mtegemea Rashid au Marshal au Lingard kuleta ushindani wowote kwenye ligi.. angalia watoto wa Chelsea wanaeza compete furesh kwenye Ligi kuliko iyo front yenu ya mbele..
Kepa anazidiwa nini na DeGea? Au Leno? Labda kwa mbali Allison.kepa hamna goal keeper hapo
Chelsea level zenu ni championship ,muda utaongea ,Aha kuandika ujinga wewe ..sisi tuna garassa gani sasa? Iyo arsenal yenye Luiz na Matteo unaona ni timu sasa? Wewe level zako ni Burnley na Norwich ..yani ata Wolves anakukimbiza mbali sana ..hii Arsenal sio timu ni kikundi cha wauni tu waliokosa muolekeo wakajieka sehemu moja ...unaona hata Unai anashindwa kupanga kikosi...
Hahaha hawa wanajifanya hawajui wakati skrepa kwetu ni Lulu kwaoLkn Luiz akija Arsenal ana namba ya kudumu. Hapo tungewapa Christensen au Ludiger? Achilia mbali Joginho, Kovacic, Kante na Pulisic au Emerson
Toka preseason nimekuwa nikiwaambia mtamaliza nafas ya 10.,Wewe endelea kuleta imani zako za kuunga kuunga ..unaona juzi ulitabiri ushindi mnono wa 1-3 ..lakini matokeo tunayo sisi fansivyo wewe endelea kutoa viutabiri vyako vyeny mihemko..
Ikiwa tutaendelea na hawa wachezaji ambao niliambiwa kuwa wametoka academy ya Manutd na kwamba "wanawika ulaya" huku wakiongozwa na OGS basi tutaendelea kupambana kuitafuta nafasi ya nne tu.Sijui wenzangu mnaona kama mimi ninavyoona maana hadi muda huu sijui hii timu imekamilika eneo gani
Bado naona mapengo na mashimo makubwa sana usajili wa maguire na bissaka hauwez kuficha mashimo
Napata shida sana kama tunakocha ndani ya hii timu maana sina hiyo taaluma ila naona udhaifu mkubwa sana bado kocha kakubali tuenze ligi na mashimo ya maana
Dirisha la usajili lipo waz toka mwez wa 5 tunasajili kama vile sisi ndio manchester city
Wewe beki gan mech 3 goli 7?Hivi kati ya Arsenal na Lee King him self Chelsea nani ana beki mbovu??
Mourinho hajakosea, nna uhakika hata wachezaji walioko academy ya city wana nafasi kubwa kuchukua ubingwa kuliko MUFC. huu ndio ukweli ambao wengi hawataki kuukubali.Mourinho anazingua Sana, aliulizwa juzi timu ambazo zinaweza chukua EPL mwaka huu jamaa akataja Manchester City, Liverpool, Tottenham na Manchester City "B" team...
Kwamba hata wachezaji waliopo benchi pale Manchester city wanaweza compete for tittle wakipewa nafac....
Nilishakueleza Luiz ni beki mzuri , ndio maana kila siku mnalalamika , na amekuja kama short term ,maana tunamvizia Dayot upemacano wa RB Leipzig, juzi kacheza vzr aerial dual ,kuanzisha mashambulizi, Midfield ya vijana aliyoweka emery ndio iliwapa wakati mgumu back line,Lkn Luiz akija Arsenal ana namba ya kudumu. Hapo tungewapa Christensen au Ludiger? Achilia mbali Joginho, Kovacic, Kante na Pulisic au Emerson
Sijaona tunapotofautiana sababu hata ulichoandika wewe ni hichohicho Lukaku alifeli sababu mfumo anaomfaa ni tofauti na anaoucheza OGSMkuu Kama nilivyokuambia post ya juu imethibitishwa na medical ya inter jamaa alikuwa 104KG sio Maneno ya Garry Neville Peke yake. Garry alipost 9 mwezi wa 8 na tarehe 17 ikathibitishwa na madktari wa inter, naweza kukutafutia source ukitaka.
Na mkuu Kama unaangalia mechi zetu kuanzia pre season mpaka hizi tatu tulizoanza huo mfumo wa 4-3-3 tumeshauacha tupo 4-2-3-1 ambayo midfield 2 anacheza pogba na MCtominay na no 10 Ni lingard James kulia rash kushoto na martial 9 lakini hao wa mbele hawakai kwenye nafasi zao muda wote wanakuwa na movement. Lukaku hawezi cheza mfumo huu.
Ngoja nikupe stats chache mkuu za hizi mechi 3.
1. Mechi 3 penalty 3 tayari kipindi Cha nyuma tunakaa mechi Hadi 18 hatujapata penalty.
2. Tumenyimwa penalty kibao japo hizo penalty tatu tumepewa.
3. Wachezaji wetu Hadi wanapewa kadi kwa kudive (japo hawajadive) hii inatokana na mishe mishe za pale mbele na chenga nyingi.
4. Martial ana average ya Drible 3 Ni Zaha na Pepe Peke Yao waliompita ligi nzima.
5. Tunasababisha faulo nyingi Sana mpaka za red card na Kama sio uzembe wa referee wapinzani wetu wengi walitakiwa wawe na red Sasa Hivi sababu ya movement zetu pale mbele.
Mambo Kama haya mkuu hayawezi yakatokea ukiwa na striker anayesimama kusubiri mipira maana anakuwa predictable, na huu ndio mfumo ole anao utengeneza, japo quality ya wachezaji wetu sio kubwa Ila mfumo upo sahihi,
Degea >kepaHawazidi wa'4 hao wengine ni level ya DANIEL JAMES wetu.
Yaani Chelsea kupigwa 4-0 na hao akina Rashid we hukuona mtakavyoteseka season hii? ...
Huyo Kepa anafukuzana na kipa wa West ham kuruhusu magoli... labda awe kipa namba moja wa Spain ya London.
Zouma anamueka benchi P.JONES kule nje kwenye benchi kusogeza matako foleni ya sub.
Mwisho wa yote atakuja kocha atakayeona hata hao kina Rashford ni kimeo.Mkuu mlaumu Woodward, ole wachezaji wake aliowataka hawajakuja sio kosa lake. Tume flirt na dybala, mandzukic, Bruno, longstaff na wengi tu mwisho wa siku hajakuja yoyote.
Na Lukaku msimu wa pili kacheza mechi takriban 45 na goli 15 na performance yake haikuridhisha na mwishoni akazidi kubweteka. Kwenye Uefa ana goli 2 ambazo zote kafunga mechi ya psg, jumla ya mechi alizocheza Ni 9. Mimi pia nampenda Lukaku lakini Kuna vitu anafanya vya kijinga Sana.
1. Ameongezeka kilo Hadi kufikia 104, Hivi mchezaji gani unajisahau kiasi hiki? Watu walidhani Garry Neville anatania lakini medical za inter zilithibitisha jamaa ana kilo 104. Angalia hii picha Lukaku anakuja Man U na anaondokaje, alikuja Kuna utofauti wa tumbo na kifua anaondoka bila huo utofauti.
View attachment 1192743
2. Kuvujisha data za mazoezini, na kujinadi kwamba yeye ana speed.
3. Kuwapiga vijembe wachezaji wenzake Twitter Kama alivyomponda martial kwa kutochaguliwa kombe la Dunia etc
Unaweza kuangalia full article Hapa
What is Lukaku’s problem? - Republik Of Mancunia: A Manchester United Blog
Romelu Lukaku sealed a move away to Inter Milan this summer after a disappointing second season at Manchester United, where it became clear he wasn't going to be Ole Gunnar Solskjaer's first choice striker. He scored just 15 goals in 45 appearances last year after what was a largely frustrating...therepublikofmancunia.com
Wachambuzi wameiweka Chelsea kumaliza ndani ya top four kwa vigezo na Arsenal kumaliza nje ya top fourChelsea level zenu ni championship ,muda utaongea ,
Unai kashapata presha tumemfata tweeter kaipata fresh , atapanga vzr sasa
Wewe mwenye Abraham jirud na willian hata kwa Everton mwenye Iwobi Kean Richardson humfikii ,ndio ujifananishe na kina auba laca pepe ?acha masihara Ollachuga ,
Norwich kapanda daraja unatoka naye 3-2 ,sasa kina Everton, wolves , Leicester sindio watakuua, hapo top 6, hubebi hata point 1