OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hii peleka kule jukwaa la arsenal ..tuulize kama wakina Auba na Lacca wataeza kulipa hili DeniNajiliwazaView attachment 1192196
Nini ci mulipewa Siku za upendeleo au?Bado najiuliza kwanini Uingereza wamekimbilia kufunga dirisha la Usajili mapema hivi.
Sababu ni zipi labda?
Wakati tatizo lipo kwa wamiliki na mwajiri wao Ed.
Na Ed atafanya hivyo ili abaki msafi. Mimi sioni Ole akitoboa kabisa kwa hii timu. Labda tusubiri kuona Fred anarudi katika hali gani,bado timu ni kisanga. Tuko vizuri nyuma tu,na ikitokea AWB anapata majeruhi tunarudi kuleee. |
Umeongea vema sana. Mou alipo mbrand huyo kijana kama "kirusi" hakuropoka tu bali ashaona vingi toka kwa huyo mtoto asiyekua!Mkuu Dimaria alii prove Dunia kwamba ni world class, je alipokuja United kina nani walimfanya ashuke kiwango, Falcao, Sanchez wakishushwa na akina nani n.k
Kwa mfano hapa unasema akina Lingard ndio wanamsababisha Pogba asicheze vizuri. Nikikuuliza Lingard na nani sidhani kama utataja hata wachezaji 4 ambao utawaingiza kwenye hiyo blame game
Swali linakuja, akina Degea, Wan Bissaka, Shaw, Maquire, Lindelof, Tony Martial, Rashy, James je wote wanamuangusha Pogba? Je Pogba pale Ufaransa ana world class players tu wanaomzunguka, Pavard, Giroud, namba 3 wao yule n.k
Je pale Juve alikuwa amezungukwa na wachezaji wote world class players? Je unapotaja mafanikio ya Juve kwa wakati ule, ulikuwa unamtaja kama Pogba ndio ameibeba timu au Pogba was just another Juventus player
Pogba kucheza timu yote duniani, sidhani. Ana hiyo potential, KWELI na pengine mpaka anastaafu atabaki kuwa na POTENTIAL tu, lakini sio timu yoyote duniani anaweza kucheza. City hawezi kupata namba, na Pep alimkataa, Madrid pamoja na Luka kuwa kikongwe sidhani kama anaweza kumvua namba. Barca ndio kabisaa.
Hapa nazungumzia uwezo wake uwanjani na influence yake kwenye timu, hivi vitu ukiviunganisha kuna viungo wengi duniani wanaweza kuwa mbele ya Pogba.
I would rather have Ericksen, Madson, BF, Milinkovic than Pogba in my team
Mkuu mchezaji yeyote wa Chelsea akija apo Man united hakosi namba kikosi chenu cha kwanza.Chelsea sijaona mchezaji wa kushauri aondoke maana wote ni wa level za Chelsea
Kwa nini asichomoe? Timu hii imekosa mvuto kwa kiasi kikubwa sana. Labda akihaidiwa kukunja sio chini ya pauni 200k+ kwa wiki anaweza kuvutiwa..Kwamba Madson Man wakimtaka ana ubavu wa kuchoma, si kweli
Umekosea kuweka neno "yeyote"... rekebishaMkuu mchezaji yeyote wa Chelsea akija apo Man united hakosi namba kikosi chenu cha kwanza.
Bisha katika hili.
Hivi unajua Chelsea sasa hivi wachezaji wake ni level za championship?Mkuu mchezaji yeyote wa Chelsea akija apo Man united hakosi namba kikosi chenu cha kwanza.
Bisha katika hili.
Zoumma anamweka nani benchi??Mkuu mchezaji yeyote wa Chelsea akija apo Man united hakosi namba kikosi chenu cha kwanza.
Bisha katika hili.
Hahaha ngoja uone mziki tutakao washa this weekend ..natamani ingekuwa tunakutana na nyie lile pazia pale golini na beki ndo uyo Luiz yani mungeoga na mvua za magoli..Hivi unajua Chelsea sasa hivi wachezaji wake ni level za championship?
Na msipokaza mtamaliza nafas ya 15? Mkikaza mnaweza kumaliza nafas ya 10
Apo sawa lakini ukweli ni kwamba Chelsea tuna vijana ambao wanaingia moja kwa moja tena bila kupingwa kwenye first XI ya Ole ...Umekosea kuweka neno "yeyote"... rekebisha
Mkuu Zoumma na Magwaya wana tofauti gani? Unadhani Zouma anaeza kosa namba au akawa bench woma apo Man united? Jibu ni hapana.Zoumma anamweka nani benchi??
Hahaha wewe juzi unapanga kikosi cha kitoto unapigwa tatu na Liverpool ..sisi tulipanga hao unaowaita championship players na wakakipiga fresh Dakika 120 supercup alafu unajiona una kikosi cha maana.Hivi unajua Chelsea sasa hivi wachezaji wake ni level za championship?
Na msipokaza mtamaliza nafas ya 15? Mkikaza mnaweza kumaliza nafas ya 10
Ndio maana mkapigwa 4-Mkuu mchezaji yeyote wa Chelsea akija apo Man united hakosi namba kikosi chenu cha kwanza.
Bisha katika hili.
Hawazidi wa'4 hao wengine ni level ya DANIEL JAMES wetu.Apo sawa lakini ukweli ni kwamba Chelsea tuna vijana ambao wanaingia moja kwa moja tena bila kupingwa kwenye first XI ya Ole ...
Mcheki Mount, ata Rashid anapigwa bench apa jpo yeye ana uzoefu na ligi.
Mcheki Kova apo ata Pogba anaeza pigwa benchi.
Mcheki Tammy ..Marshal apa anaeza kaa bench
Kwa upande Beki muko vizuri ..ila Magwaya anakalishwa vizuri tu na Zouma
Apo kati ndo usiseme Joghihno, Kante nani wa kuwaweka benchi apo Man u? Jibu ni hatuna..
Kepa anaeza mkompiti vizuri tu De gea na soon anachukua kipa namba moja Uspain..
Kila la kheri Chelsea
Klabu zilipiga kura zikataka dirisha litafungwa kabla ligi haijaanzaBado najiuliza kwanini Uingereza wamekimbilia kufunga dirisha la Usajili mapema hivi.
Sababu ni zipi labda?
Tayari tulishatolewa mapema tu.CARABAO CUP FIXTURE
- Wolves v Reading
- Preston v Manchester City
- MK Dons v Liverpool
- Manchester United v Rochdale
Yani mkuu Rashford na martial sio namba 9 halisi kuliko Sanchez?
Katika kipindi hiki ambacho hatuna Lukaku na hakuna usajili uliofanyika kuziba pengo lake,kusema Sanchez hana umuhimu ni kucheza kamari.
Timu haina namba tisa halisi, Martial na Rashford hawa sio #9 halisi. Sanchez alicheza kama #9 kwa mafanikio pale Arsenal.
Fikiria Martial ameumia,hatokuwepo mchezo ujao. Mchezo ujao aumie tena Rashford awe nje kwa miezi kadhaa, hapa si unamaliza nafasi ya 13? Utamtegemea Greenwood kama mshambulizi pekee akufanye umalize top4?
Hawa watoto sio wa kutegemea kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka tufanye mkuu. Greenwood mpe dakika 10 za mwisho wakati unaongoza,akiingia kwa presha ndio mipira itakuwa ikimgongagonga mpaka anachanganyikiwa.
Nasubiri, mpaka December Ole atakuwa ameshaanza kusukumiwa jumba bovu.