alipoulizwa alisema anacheza kushoto mkuu wewe kwann umpangie?James anafaa kutokea kushoto kwa nn anachezeshwa kulia kila mechi?
Chelsea mmepata pa kusemeaKazi kuzunguka majukwaa ya watu kupiga umbea unaacha kwako vyakula vinaungua tu. Hahaa tuongeze sauti au inatosha.
Ole on the wheel![]()
taarabu fc toeni ata draw nile milion 7
Nilisema mapema hapaMuda sio mrefu Maji na Mafuta vitaanza kujitenga,kila kimoja kitarudi mahali pake.
Hahahahahahahahah na leo umecheza na timu kubwa sio.Wewe mkuu umeanza na Norwich na Southampton una points 6
Mimi nimeanza na Chelsea iliyokupa tabu Super Cup na Wolves nyumbani kwao
Huwezi ona tofauti hapo?
Kazi kuzunguka majukwaa ya watu kupiga umbea unaacha kwako vyakula vinaungua tu. Hahaa tuongeze sauti au inatosha.
Ole on the wheel![]()
Duh 🙄 Degea majanga
Tutamlaumu bure De Gea wa watu mkuu, timu hamna hapa. Timu ina wachezaji wachache sana wanaocheza kikazi na kwa uchungu. Hapa hamna kutu, sijui tulimuotea vipi Chelsea. |
Niliwaambia hakuna wakuwapa draw sasa mtamfunga naniJames....