Manchester United (Red Devils) | Special Thread

My starting Lineup vs Crystal Palace

De Gea

Bissaka Lindelof Maguire Shaw

Pogba McTominay

James Lingard Rashford

Martial

Sioni sababu ya sisi kukosa point tatu na perfomance nzuri..GGMU
Naunga mkono hoja

Kwa Lingarg akibaki yeye, akipewa nafasi Angel Gomes, Greenwood au DJ I wouldn't mind
 
Hakuna kitu yule kijana si mtu sahihi kwa timu yetu. Alishaonyesha altitude hyo tangu bado mtoto
 
Halafu ameenda kumuomba Rashford wakati halikuwa jukumu lake. Naona katabia ka aliyefanyiwa rafu ndio apige penalty kanataka kuota mizizi.
Kijana yupo juu ya timu yetu tuvumilie tu japo ile penati kwa moyo wangu wote sitamlaumu mana alipiga bila ya Yale madoido yake
 
Paul ni zaidi ya Man United kwa sasa,inabidi tuwe wapole tu.
 
Ha ha eti hiyo kazi sifanyi mimi
 
My starting Lineup vs Crystal Palace

De Gea

Bissaka Lindelof Maguire Shaw

Pogba McTominay

James Lingard Rashford

Martial

Sioni sababu ya sisi kukosa point tatu na perfomance nzuri..GGMU
Kwa Lingard angecheza hata Perreira. Anyway kocha anajua strength na weak pint ya kila mchezaji
 
Kwa Lingard angecheza hata Perreira. Anyway kocha anajua strength na weak pint ya kila mchezaji
Kikosi official hakijatoka bado..huwa kinatoka one hour before kickoff..

Hicho ni cha kwangu..
 
Tunakumbushana tu

Msimu uliopita United dhidi ya Chelsea nyumbani, Wolves away na Cristal Palace nyumbani tulivuna jumla ya pointi 2 (tuli draw na Chelsea, tulipigwa na Wolves na tuka draw na Cristal Palace

So far katika fixtures zetu na hizo timu, tuna points 4 na kiporo cha Cristal Palace


Kuna watu hawataipenda hii taarifa
 

Time Will Tell
 
Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...



Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..


Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...

Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..



Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"




Nawatakia Weekend Njema..
 
subiri zaha akupapase kinyeo
 
Naona Lingard anaanza tena.

Kweli kuna bahati na nyota katika mpira.

Ila kocha ndio fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…