Hatuwezi kushinda kila mechi mkuu. Hata hao City na Liver wanafungika
Labda mimi ndio nikisaidieCha kukusaidia hapo "" kwamba mkono ulizidi Wakati anatoa pasi ya goli""
Offside Inakuwa pale tu kiungo ambacho kinaweza kufunga kikizidi.
Sasa mkono Hauwezi kufunga ndo mana haikuwa offside.
So mkono unapozidi sio offside.
Wewe mkuu umeanza na Norwich na Southampton una points 6Muda sio mrefu Maji na Mafuta vitaanza kujitenga,kila kimoja kitarudi mahali pake.
Duh...... Hii ni sheria iliyobereshwa ambayo imeanza kutumika msimu huu MkuuuKatika sheria za offside kuzidi mkono sio offside but viungo vengine vyote (Kichwa, Mguu, tumbo, mgongo n.k.) vikizidi ni offside.
unasemaje?Sasa Man city kama hujui hata Arsenal wana middle nzuri kuliko wao, kinachowasaidia city ni wings zao Sterling na wngineo pamoja na Ukuta mzuri ndo kinawabeba ..lakin hata Man united anaweza kuwa na kiungo nzuri kuliko hata City(unaweza ukawa ni utani pia)
Ukiacha AWB, kwangu Lingard jana ndio alikuwa Man of the Match
Naomba nisipigwe mawe
matusi ya nini tenaMuulize mama ako nilivyomtoa bikra kijambio chake
Yeah mm siko upande wa kishabiki zaid. Niko upande wa mpira zaidi. Ushabiki ni kama siasa so sija base sana hukoKimpira uko sahihi kabisa, ila kiushabiki hatuangalii hizo. Imagine baada kumfunga Chelsea maneno tuliyoambiwa mtaani.
Leo kimya, sioni status za GGMU WhatsApp.
timu yako haina hela ya kununa hao wachezahi kwa mpigoMie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.
Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.
Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.
kuna mtu hapa alishawahi kusema ujio wa Bissaka umefanya tumuone Shaw ni average player, hili nimethibitisha katika game ya janaHuku wan akikinukisha kama kawaView attachment 1185687
Ni lini ole alisema penalti zinapigwa na rashford?
Mimi kwa madudu ya Pogba nitaendelea kumlaumu Ole, Aguero mchezaji mkubwa na bora pale City juzi tumeona anakoromewa na kutolewa kwa kutokukaba. Ole yupo anaendelea 'kuchua' kiburi cha Pogba.
Kama kocha anasema penalty zipigwe na Rashford si dharau yeye kwenda kuomba kupiga?
Ole alitakiwa kujenga nidhamu kwanza katika timu ndio mengine yafuate.
Labda mimi ndio nikisaidie
Kiungo chochote cha mwili kikizidi na mchezaji akafunga goli, hiyo itahesabiwa kuwa ni off side position
Labda hiyo ya kiungo kinaweza kufunga ni sheria mpya ya offside ambayo imeanza kutumika msimu huu
Duh...... Hii ni sheria iliyobereshwa ambayo imeanza kutumika msimu huu Mkuuu
Ukiacha AWB, kwangu Lingard jana ndio alikuwa Man of the Match
Naomba nisipigwe mawe