Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio maana niliacha kuingia huku. Yaani Wolves ndio kipimo cha timu kama Man Utd?! SMH
Chelsea hii na wolves ,si bora wolves wana beki nzuri ,kiungo kizuri ,forward ya kueleweka, huon ndio kipimo kizuri kutest timu yako maeneo kama mshambuliaji ,kiungo ,na hata back line

Kwa Chelsea hii ya sasa sio kipimo halisi ,labda kama unataka kubishana
 
hongereni kwa kuwafunga wanawake wenzeni kama mna ubavu njooni mjipime kwa wananchi THE CITIZENS
 
Hiyo timu uliyoanza kuishabikia jana usiku muda mfupi baada ya kuacha ziwa la mama ina makombe manne (4) ya EPL, uwe na adabu!

Hao unaowaita wanawake wenzetu wanayo matano pamoja na moja la UCL ambalo kwako wewe ni ndoto.

Uwe na nidhamu, sisi ni baba zako!
 
hata yako ilianza na 1 mpka umefika hapa ilipo man u haina tofauti na pamba Fc
 
Hiyo timu uliyoanza kuishabikia jana usiku muda mfupi baada ya kuacha ziwa la mama ina makombe manne (4) ya EPL, uwe na adabu!

Hao unaowaita wanawake wenzetu wanayo matano pamoja na moja la UCL ambalo kwako wewe ni ndoto.

Uwe na nidhamu, sisi ni baba zako!
Sema tupo kwenye hali ya kujivua gamba kama nyoka ili tukamate makombe mengine vizuri asituchukulie poa
 
Back
Top Bottom