Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sidhan kama umeangalia mechi. Toka maandalizi yaanze kocha alishasema kuwa greenwood hataongoza mshambulizi. Ndio maana anaanzia kutoka nje. Pale mbele akina rushford na martial ndio wataendelea kupiga mzigo.

Man u si wajinga wambebeshe majukumu greewood. Mtoto wa miaka 17.. hatoweza kabisa.
ikitokezea marcus rashford amechoka au kupata majeruhi nafasi yake anabeba nani?

unataka kuniambia tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea na yule dogo mount ndiye playmaker wa chelsea?
kama tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea basi wagombanie nafasi ya nane.
 
Kuna tofauti kati ya kufurahia matokeo na kudhani kuwa enzi za fergie zimerudi.
Tunachofurahia mashabiki wengi ni kushinda mechi... japokuwa hatujaridhika na performance lakin matokeo yako vizur.. ni mapema sana kusema man u iko kwenye form.
Marekebisho makubwa yanahitajika.

I:E. Shida yenu chelsea mlijiamini kupita kisa. Mkaenda uwanjan na matokeo yenu. Ndicho kimetokea.. mngekuwa makin kidogo mngeshinda.
Hapana, ni kwamba nawashangaa watu wa manu kuamini kuwa sasa enzi za fergie zimerudi kwa kumfunga chelsea jana..
 
Yes tammy. Ndio main striker.. mason mount ataanzia bench. Yes chelsea hawana namba 10 wa kumtegemea. Since hazard aondoke.. hawana wa kuziba pengo so wataendelea kuchezesha madogo.

Rushford akiumia yes greenwopd atawekwa mbele lakin nyuma yake kukiwa na experienced player.

Chelsea safu ya ushambuliaj experienced player ni pedro tu. Waliobaki ni watoto.. unadhani watakuwa effective ? Nope.

ikitokezea marcus rashford amechoka au kupata majeruhi nafasi yake anabeba nani?

unataka kuniambia tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea na yule dogo mount ndiye playmaker wa chelsea?
kama tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea basi wagombanie nafasi ya nane.
 
ikitokezea marcus rashford amechoka au kupata majeruhi nafasi yake anabeba nani?

unataka kuniambia tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea na yule dogo mount ndiye playmaker wa chelsea?
kama tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea basi wagombanie nafasi ya nane.
Dogo yupo vizuri mbona?
 
Naona Bwana Mashaka na Halima Gwaya wamewafurahisha sana jana humu ndani.
Hongereni sana.
 
Hawa jamaa lazima tuende kwao kwa taadhari sana

Ile style yao ya counter attack inatesa sana vigogo
Hata mechi na L.City walikuwa na counter attacks za hatari sana.

Maguire hana mbio kwa hiyo nategemea ataelekezwa kuachana na utaratibu wa kupanda.

Hawa walitutoa FA Cup wakati ndio lilikuwa tegemeo msimu uliopita.
 
ikitokezea marcus rashford amechoka au kupata majeruhi nafasi yake anabeba nani?

unataka kuniambia tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea na yule dogo mount ndiye playmaker wa chelsea?
kama tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea basi wagombanie nafasi ya nane.
Sanchez
 
kiupande fulani bado tupo ovyo kwenye umiliki wa mpira na hili si tatizo la mchezaji mmoja mmoja bali nusu ya kundi la wachezaji wanaounda timu yetu, hata ukiangalia safu yetu ya ushambuliaji bado wana ugonjwa ule ule wa kushindwa kufanya maamuzi ya haraka pindi tunaposhambulia (si ajabu kumkuta martial au rashford anapiga chenga eneo analopaswa kutoa pasi).
jana tulicheza na timu ambayo haikuwa na uwezo wa kufika kwenye eneo letu la hatari mara kwa mara ndio maana defence yetu ilionekana kuwa vizuri lakini kuna siku tutakutana na timu zinazomiliki mpira na kufika kwenye eneo la adui kwa speed kubwa ndipo tutakapofahamu zaidi uwezo wetu kama umeimarika au kinyume chake (si mbaya tumerekebisha defences ila tumeshindwa kuimprove eneo la midfields)

karma is bitch.
kilichomkuta jana tammy abraham na mason mount kuna siku kitamkuta greenwood na crew yake, ndio maana nitaendelea kusimamia msimamo wangu ule ule wa kupinga kuwabebesha majukumu makubwa sana chipukizi kwenye kundi la wachezaji vilaza.

GGMU
Mkuu naona upo upande wa MSIMAMO, jaribu kuwa flexible kwa kuangalia uhalisia

Sijui kwanini leo ghafla Chelsea imeonekana ni kipimo kinachotudanganya

Hivi ni kweli Chelsea ni wabovu kiasi hicho

Tulishinda mechi zote za Australia, watu wa kasema is just preseason, tukashinda dhidi ya Inter kisha Spurs ikaonekana is just pre season. Jana tumempiga Chelsea inaonekana ni timu dhaifu

City kashinda preason haijaonekana kama is just pre season, kampiga Westham haijaonekana kwamba ile ni timu dhaifu. Liverpool kampiga mpanda daraja imeonekana ni kwa sababu ya ubora wa Liverpool na si kwa sababu ya udhaifu wa Norwich City

Nadhani tatizo lililopo ni kwamba hatujaridhika na mwenendo wa timu yetu ikiwemo na usajili wake, na tumeonesha kuwa hatujaridhika. Sasa matokeo yakitu prove wrong, tunabaki kuwa na MSIMAMO ili MSIMAMO wetu wa mwanzo uonekane ulikuwa sahihi

Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye midfield tuna mapungufu, Pogba asipocheza hali itakuwa mbaya zaidi. Lakini ni ukweli mchungu kwa baadhi yetu kuwa United wame improve ukilinganisha na last season

Timu inaanzia kujengwa kuanzia nyuma, kwa sasa nyuma kuna uimara zaidi. Ukiondoa kwa Luke Shaw, sioni shida eneo lingine upande wa nyuma

Ukweli mwingine ni kwamba, mwaka huu ni ngumu kupambana na City na Liverpool kwenye vikombe, lakini waliobaki tunaweza kupambana nao vizuri tu
 
ikitokezea marcus rashford amechoka au kupata majeruhi nafasi yake anabeba nani?

unataka kuniambia tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea na yule dogo mount ndiye playmaker wa chelsea?
kama tammy abraham ndiye mshambuliaji mkuu wa chelsea basi wagombanie nafasi ya nane.
Tammy Abraham amewapandisha daraja Aston Villa kwa magoli yake

Kumbuka, ndiye aliyemweka benchi Giroud, shujaa aliyeipatia Chelsea ubingwa wa Europa League msimu uliopita

Greenwood hawezi kutegemewa, Rashford akiumia kuna options nyingi tu. Labda Nitaje wachezaji wanaweza kucheza pale mbele, Rashford, Martial, Daniel James, Sanchez, Lingard, Mata, Pereira, Greenwood, Pogba (namba 10) n.k. (OGS amesema set up ya mwaka huu forward sio lazima kuwe na striker aina ya akina Lukaku) Wachezaji wanaweza kucheza namba 9 peke yake wapo 4 na Greenwood akiwemo

Tatizo langu kwa Rashford ni kucheza mpira wa UMISETA, sometime akikabwa tafu anasimama kumsubiri refa amsaidie n.k. Tatizo kwangu kwa forward line si kuwa na watu wachache, ila waliopo ni clinical?

Mbape amekuwa tegemeo pale Monaco akiwa na 17 years old, kuna maajabu gani Greenwood akiwa back up man Utd kwa umri huo huo? Isitoshe Greenwood kwa msimu uliopita ame prove kwamba he is too old for under 18 and under 23 football.
 
Mkuu naona upo upande wa MSIMAMO, jaribu kuwa flexible kwa kuangalia uhalisia

Sijui kwanini leo ghafla Chelsea imeonekana ni kipimo kinachotudanganya

Hivi ni kweli Chelsea ni wabovu kiasi hicho

Tulishinda mechi zote za Australia, watu wa kasema is just preseason, tukashinda dhidi ya Inter kisha Spurs ikaonekana is just pre season. Jana tumempiga Chelsea inaonekana ni timu dhaifu

City kashinda preason haijaonekana kama is just pre season, kampiga Westham haijaonekana kwamba ile ni timu dhaifu. Liverpool kampiga mpanda daraja imeonekana ni kwa sababu ya ubora wa Liverpool na si kwa sababu ya udhaifu wa Norwich City

Nadhani tatizo lililopo ni kwamba hatujaridhika na mwenendo wa timu yetu ikiwemo na usajili wake, na tumeonesha kuwa hatujaridhika. Sasa matokeo yakitu prove wrong, tunabaki kuwa na MSIMAMO ili MSIMAMO wetu wa mwanzo uonekane ulikuwa sahihi

Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye midfield tuna mapungufu, Pogba asipocheza hali itakuwa mbaya zaidi. Lakini ni ukweli mchungu kwa baadhi yetu kuwa United wame improve ukilinganisha na last season

Timu inaanzia kujengwa kuanzia nyuma, kwa sasa nyuma kuna uimara zaidi. Ukiondoa kwa Luke Shaw, sioni shida eneo lingine upande wa nyuma

Ukweli mwingine ni kwamba, mwaka huu ni ngumu kupambana na City na Liverpool kwenye vikombe, lakini waliobaki tunaweza kupambana nao vizuri tu
On paper tu,timu imeiprove na pale nyuma kwa kweli mabeki wapo comfortable sana, sikumbuki ni lini tumecheza vile miaka ya hivi karibuni..Nakubaliana na wewe kuwa bado middle pale tutastruggle na hasa tukikutana na timu nzuri kwenye hiyo idara..
 
Bila kificho.. ROJO, SMALLING AU JONES mmoja wao angecheza jana pale nyuma kungekuwa na Boko nyingi sana.
LINDELOF + MAGUIRE + BISSAKA tumepata watu aisee... chondechonde majeruhi yawapite kushoto.
Pale kwenye Midfield bado hapako sawa hasa ukabaji, vijana wetu wanapitika kirahisi sana na wanazidiwa hata ubavu.. SCOT anajitahidi ila aongeze ukatili kidogo.
Hizi mbwembwe zote kisa mechi ya Jana. Man u bhana ongeeni machache huu ni mwanzo@:Chelsea
 
Unanifananisha ,aisee Mimi nilisema mapema Leo man u anashinda 3+ ,na nikawaambia wapiga zumari wa Chelsea wajiandae kisaikolojia ,maana hakuna asiyekijua kikosi cha Chelsea msimu huu, hata cha Everton au Watford ni vizuri .
Leta comment yako hiyo kabla ya mechi
 
Back
Top Bottom