radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Next is wolves, ambao naona walitupa kazi mwaka jana
Hiki ndio kipimo chetu hawa hawakupi nafasi za wazi wanakaba sana ndio tutajua uwezo wa viungo wetu
Next is wolves, ambao naona walitupa kazi mwaka jana
Sasa unataka aje hapa baada ya Kubakwa?![]()
Baada ya kujipiga Ban Huko kwenye Jukwaa la Mapishi kaamamua kujificha ili asionekane.
Halafu hiki kitabia cha ndugu Ollachuga kujipiga ban inabidi kikemewe kwa nguvu zote na wapenda soka wote humu.😂 |
Hapana, ni kwamba nawashangaa watu wa manu kuamini kuwa sasa enzi za fergie zimerudi kwa kumfunga chelsea jana..Mzee inaonekana matokeo ya jana yamekutesa sana
You are so bitter
Acha kuongea pumba sister aishaKuwa na adabu na huyo mmeo mpya... ndoa itakushinda
Hayo unayawaza wewe, sisi tumefirahia matokeo ya jana lakini si sana upande wa uchezaji. Tukiweza kupata matokeo hata tusipocheza vizuri, hilo si jambo la kubezaHapana, ni kwamba nawashangaa watu wa manu kuamini kuwa sasa enzi za fergie zimerudi kwa kumfunga chelsea jana..
fanya kama unajikuna hiviKikosi chetu kipo underrated lakini hii Manure kushinda leo wajipange sana.
Man united 1-3 Chelsea
do you remember?Sasa inakuaje unakubali mapema kupokea matokeo bila mzuka
Ukishinda lazima utakuwa na mzuka tu, ukifungwa ndo vile lazima uwe na mzuka tu
Man united1-3 Chelsea
muangalieni huyo asijekutuingiza mkenge hapoWewe tulia kama ulivyo, Pulisic na Tammy wana goli zao kama mbili.
Mkuu saa tatu kamili nitakuwa hapa kupokea pongezi za ushindi na kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa..
Kwanza nitangulize kutoa pole mapema maana mgonjwa ndo anapelekwa ICU na uwezekano kupona ni mdogo sana. Ivyo tunatarajia ifikapo saa mbili kamili uyu mgonjwa atakuwa hayupo tena duniani.
Poleni sana kwa wafiwa!!!
Ajabu ni kwamba haukuonekana saa tatu kamili na hata sasa umepotea kabisa. 😂😂😂 |
Willian tu ndo alikosa goliMagwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
.....Mkuu saa tatu kamili nitakuwa hapa kupokea pongezi za ushindi na kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa..
Kwanza nitangulize kutoa pole mapema maana mgonjwa ndo anapelekwa ICU na uwezekano kupona ni mdogo sana. Ivyo tunatarajia ifikapo saa mbili kamili uyu mgonjwa atakuwa hayupo tena duniani.
Poleni sana kwa wafiwa!!!
Lugha za kijinga kama hizi ni za nini Brother?Acha kuongea pumba sister aisha
kiupande fulani bado tupo ovyo kwenye umiliki wa mpira na hili si tatizo la mchezaji mmoja mmoja bali nusu ya kundi la wachezaji wanaounda timu yetu, hata ukiangalia safu yetu ya ushambuliaji bado wana ugonjwa ule ule wa kushindwa kufanya maamuzi ya haraka pindi tunaposhambulia (si ajabu kumkuta martial au rashford anapiga chenga eneo analopaswa kutoa pasi).Naona tofauti kubwa sana pale kwenye back four, Maquire +Wan Bissaka wameongeza kitu kikubwa sana
Kwenye Mid field lazima OGS afanye kitu, vinginevyo msimu utakuwa mgumu kwetu
Kuna mtu wa Chelsea humu alikuwa anasema matokeo ya leo ni Man Utd 1 na Chelsea 3,nimemuelewa 1+3=4
ungelimpotezea tu ili kuepusha mengine, si ajabu akarudi tena na maneno ya ovyo zaidi ya hayoLugha za kijinga kama hizi ni za nini Brother?
Jinga kama wewe hapa mwisho wako... endelea na uchizi wako.Acha kuongea pumba sister aisha
nisamehe dada anguJinga kama wewe hapa mwisho wako... endelea na uchizi wako.
kiupande fulani bado tupo ovyo kwenye umiliki wa mpira na hili si tatizo la mchezaji mmoja mmoja bali nusu ya kundi la wachezaji wanaounda timu yetu, hata ukiangalia safu yetu ya ushambuliaji bado wana ugonjwa ule ule wa kushindwa kufanya maamuzi ya haraka pindi tunaposhambulia (si ajabu kumkuta martial au rashford anapiga chenga eneo analopaswa kutoa pasi).
jana tulicheza na timu ambayo haikuwa na uwezo wa kufika kwenye eneo letu la hatari mara kwa mara ndio maana defence yetu ilionekana kuwa vizuri lakini kuna siku tutakutana na timu zinazomiliki mpira na kufika kwenye eneo la adui kwa speed kubwa ndipo tutakapofahamu zaidi uwezo wetu kama umeimarika au kinyume chake (si mbaya tumerekebisha defences ila tumeshindwa kuimprove eneo la midfields)
karma is bitch.kilichomkuta jana tammy abraham na mason mount kuna siku kitamkuta greenwood na crew yake, ndio maana nitaendelea kusimamia msimamo wangu ule ule wa kupinga kuwabebesha majukumu makubwa sana chipukizi kwenye kundi la wachezaji vilaza.
GGMU