Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,296
- 40,082
Simba tulkua na mipango ya kumchukua pogba dili liliishia kati kati hamna namna ndo tumemkosaBaada ya muda mrefu sana mkuu... Ile pass siyo ya kiwango cha BRT ni SGR[emoji1487]
Simba tulkua na mipango ya kumchukua pogba dili liliishia kati kati hamna namna ndo tumemkosaBaada ya muda mrefu sana mkuu... Ile pass siyo ya kiwango cha BRT ni SGR[emoji1487]
Maguire aiseee nimekubali
Hahhahaha ikabidi mbaki na ShahataSimba tulkua na mipango ya kumchukua pogba dili liliishia kati kati hamna namna ndo tumemkosa
Watapata tabu sanaaaaView attachment 1178548
Same here we doI love Manchester United View attachment 1178613View attachment 1178617
Nilimwambia asijipige ban akabisha. Ona sasa
Sina sababu ya kumtafuta vuvuzela la Chelsea ndugu yangu Ollachuga Oc tuliagana zamani kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanya barafu ya moto kurudi ubaridiKafanya nini cha ajabu?
Si homework tu... Hata hajaoga aiseeDogo hujamaliza hata homework, unaenda kuwapa balaa wenzako...View attachment 1178591
NIA tu[emoji837]Hamna linaloshindikana mkuu
Daudi Jemusi...?Dogo hujamaliza hata homework, unaenda kuwapa balaa wenzako...View attachment 1178591
Maneno ya mkosajiMsije mkaikataa hii timu badae
Inawezekana tu... Vijana watumie wembe huu huu mwa mwiNataman tufike December kwa mwendo huu ili tuwatambie haters View attachment 1178589
teh teh tehMsije mkaikataa hii timu badae
radika soma hio. Pia nikukumbushe Pogba ana two assists, Perreira ana assist moja na ndio alipora mpira akampa Pogba aliepiga killer pass to assist Rashford[emoji837][emoji837] View attachment 1178621
Labda humjui, ni huyo hapo jamaa. Unataka kumlinganisha na Mustafi?Kafanya nini cha ajabu?